mkuu wa vilaza
Senior Member
- Apr 25, 2015
- 192
- 85
- Thread starter
-
- #41
Lakini mkuu,hayo masaa 48 tunaanza kuyasubiria kuanzia lini? Maana taarifa uliyotoa ni ya toka tarehe sita;yaani siku tano zilizopita,hebu nifafanulie kidogo hapo!
Daruso ipi hii ya malofa na malimbukeniiii
hapana ipo moshi vijijini
Aah udsm imechoka kama majengo yake pale pamebaki na wale wauza sura wa mlimani city na wale wadada poa wa ambiance uwezi kuta vichwa vya akina mnyika, lissu na akina zitto
Aah udsm imechoka kama majengo yake pale pamebaki na wale wauza sura wa mlimani city na wale wadada poa wa ambiance uwezi kuta vichwa vya akina mnyika, lissu na akina zitto
tuliza basi hayo makalio wacha kututusi wasomi wako!
home of great thinkers kumekua home of poor minded thinkersmbona wewe una kalio moja watu hatusemi.?
Achana na hizo hadithi za DARUSO, hakuna kitu chochote kinachoendelea, hizo ni Propaganda tu.
Serikali ina viongozi wake na wasemaje wake, hawa mpaka sasa hawajasema chochote kuhusu huo mchakato uliosemwa na DARUSO hiyo ikiashiria kuwa hata wao hawana majibu.
Jipange kutafuta Ada ya chuo kwa njia zingine, na kama Serikali itakupa mkopo, basi iwe kama Surprise tu.
Nyie wenye vyuo vinavyoeleweka mpo wapi????
We mama zima,nawe washindanisha vyuo,shame on you.
We mama zima,nawe washindanisha vyuo,shame on you.