Tamko la DARUSO kuhusu mikopo

Lakini mkuu,hayo masaa 48 tunaanza kuyasubiria kuanzia lini? Maana taarifa uliyotoa ni ya toka tarehe sita;yaani siku tano zilizopita,hebu nifafanulie kidogo hapo!
 
Nyie kupitia TAHLISO si mlitoa tamko la kumuunga mkono Makomeo? Tena mkiwa mnaimba 'mtaisoma namba'? sasa nani wanaisoma namba sasa? HAPA KAZI TU!
 

Nasema namkose tu mikopo mana mlijifanya kuiunga mkono CCM? Hamna namna
 

UDSM kweli ni wanaharakati....proud to be there
 
Ni masaa takribani mengi sasa yamepita tangu kutolewa kwa tamko na serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam wakinukuu maelezo waliyopewa na Bodi ya mikopo kuwa ndani ya masaa 48 toka mda walipopokea maelezo hayo majina ya wanafunzi ambao walikuwa wamekosa mikopo yatakuwa out. Je yamebaki masaa mangapi kukamilisha idadi ya masaa 48?
 
Achana na hizo hadithi za DARUSO, hakuna kitu chochote kinachoendelea, hizo ni Propaganda tu.
Serikali ina viongozi wake na wasemaje wake, hawa mpaka sasa hawajasema chochote kuhusu huo mchakato uliosemwa na DARUSO hiyo ikiashiria kuwa hata wao hawana majibu.

Jipange kutafuta Ada ya chuo kwa njia zingine, na kama Serikali itakupa mkopo, basi iwe kama Surprise tu.
 
Duh kweli hiki kizaz cha nyoka..! Yan sku iz kila mtu anajijal mwenyewe haijalish yuko kitengo gani
 

subir tamko la HESLB tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…