makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,219
Rais Chama cha Walimu nchini (CWT) Mwl. Gratian Mukoba akitoa taarifa ya chama hicho
--
UONGOZI wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), umesitisha mgomo uliokuwa unaendelea nchini, hivyo kuwataka walimu kurejea kazini.
Rais wa chama hicho, Mukoba amesema wameamua kusitisha mgomo, baada ya kuingiwa na hofu ya viongozi wao wa juu kuhofiwa kukamatwa.
Hiyo ndo serikali yetu ya TZ. Kila mgomo wanakimbilia mahakamani badala ya kuleta suluhu. Okay, baada ya mgomo wa madaktari na walimu sasa mgomo unaofuata ni wa mahakimu na majaji, tuone serikali itakimbilia wapi kukata rufaa.Huhitaji kuwa Sheikh Yahaya kulitambua tamko litakalotolewa. Waalimu wataagizwa warudi kazini wakati chama kinaendelea na taratibu za rufaa!
Poleni sana Wajenzi wa Taifa la amani yaani Tz walimu ambao kazi yenu hatuna budi kujivunia kwani kazi yenu ni muhimu sana kuwaaandaa wtz hadi wengine wakawa Marais, Mawaziri , wabunge, marubani nk, kitu kimoja naomba niwakumbushe miaka mingi mmekuwa mkitoa elimu kwetu lakini mmesahau ya kwamba serikali yenu ya CCm daima haijali watu wake wanaishi maisha gani? kipato wanachokipata kinakidhi haja? bahati mbaya ninyi kama walimu hamjaliona hilo japo kazi yenu ni kufundisha. Baadhi ya walimu wamekuwa wasaidizi wakubwa wa chama tawala kuendelea kukaa kwenye uongozi bila kujali kama kinatimiza wajibu wake kwa waliowaweka madarakani baadhi ya walimu wakipata vijiposho kidogo kuandikisha wapiga kura, sensa, nk wanashindwa kukikosoa chama na makosa yake mfano wa kupiga kura walimu mnakisaidia sana chama tawala na serikali yake matokeo yake ndiyo haya walimu mnapodai mshahara japo ufikimme shilingi laki mbili 2 mnasahau kuna wenzenu hata laki moja hawajaifikia Je Uwiano wa maisha upo wapi ? hiyo ndiyo serikali ya CCM Chapendeza nawasihihi muachane na mgomo huu muwafundishe watoto wetu kusudi nao wakawafundishe wazazi wao jinsi ya kuiondoa serikali ya CCM kwenye uongozi serikali ambayo hajali hata kidogo watu wake wanakula nini kipindi kilichobaki ni kifupi sana 2015 poleni sana msije mkapigwa virungu,na mabomu ya kutoa machozi mkapoteza Ajira zenu ushauri wa bure. Mujwahuzia
Pole sana na Hongera Mukoba kwa uamuzi mwafaka.
Rais Kiwete ni kama mwendawazimu kwa hiyo kushindana naye na wewe unaweza kuonekana kama mwendawazimu. Wazungu wanasema, "Never argue with a fool,people may not notice the difference" .
Watanzania tumeshajua kwamba Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Kiwete HAITAWAHI KUSIKILIZA MADAI YA WAFANYAKAZI WA IDARA YOYOTE HAPA TANZANIA. Tumeona hivyo kwa Madaktari na sasa kwa Waalimu! Kila siku wimbo ni uleule wa serikali haina pesa na madai ya wafanyakazi hayatekelezeki! Lakini Pesa ya KULIPA WABUNGE POSHO ZAO NA MISHAHARA MINONO IPO!PESA YA KULIPA MAFISADI IPO! PESA YA KUNULILIA MASHINGINGI IPO,PESA YA KULIPA WAFANYAKAZI HEWA IPO!!!
MIMI NIWAOMBE WAALIMU WOTE KWA UMOJA WAO,KWAMBA MWAKA 2015 HAUKO MBALI SANA. KAZI ILIYOBAKI NI KUIADHIBU SERIKALI YA CCM KWENYE SANDUKU LA KURA,FULL STOP! NAJUA WAALIMU MUNA USHAWISHI MKUBWA NA MNAWEZA KUHAMASISHA WAPIGA KURA KUKIKATAA CCM KWENYE SANDUKU LA KURA!
Wasalaam.
Asante Mkoba kwa kumaintain deginity ya walimu machoni pa umma.. Huu mgomo umesitishwa kwenye vyombo vya habari lakini MASHULENI MGOMO UKO PALEPALE
MAJIBU KWA WAKOSOAJI WETU MTAYAPATA KWA WATOTO WENU
That`s what expected, For now retreat is the only solution, ili tujipange upya na shule zikifunguliwa tunarudi kudai chetu hadi kielewekeHatuwezi kukubali katika familia moja ya baba na mama mmoja watoto wanapata distingushed service lazima kitaeleweka
TUNAFIKIRI PART 1 IMESHASOMEKA LENGO LILIKUWA NI KUWA ALERT KUWA SISI WALIMU TUKIAMUA TUTANAWEZA NA HAKUNA WA KUTUZUIA SASA BASI HII PART 2 ITAKAYOFIKA BAADA YA KUFUNGUA SHULE HAKUNA KINACHOWEZA KUTUSTOPISHA KWANI HATA HUKO WANAKOTEGEMEA KUKIMBILIA TUTAKUWA TAYARI KWA LOLOTE.
MY FELLOW TEACHERS THIS IS JUST A BEGNING THE REALLY PICTURE IS SOON TO COME NO BODY CAN STOP ITBIG UP MUKOBA WE WILL FIGHT TOGETHER UNTIL THEN
Hapo ndipo ninapoona walimu au viongozi wao hamnazo endapo watatepeta.
wakati huo wewe mwenyewe umejificha nyuma ya monitor...eti uoga kitu kibaya!
Lazima msitishe mgomo! Yaani mnataka VIJIPOSHO VYA WAHESHIMIWA WABUNGE Vilipie mishahara yenu? Yaani nyie wapuuzi mnataka vibilioni 15 vya viJisambusa vyetu viingie kwenye posho zenu za eti ualimu wa sayansi!
Nyie washenzi mnataka vile vi-tax holiday vinavyotujengea angalau vijumba vya uzeeni tuvidai ili mlipwe eti posho za mazingira magumu! Nyooooo! Mnataka vijisenti vyetu vya epa?
Pumbavu nyie na msingesitisha mgomo TUNGEWAULIMBOKA DABODABO!
wewe ndio mnafiki mkubwa kwa kujitahidi kupandikiza chuki kwa wananchi.CWT inakula pesa za walim kwa kuwakata mishahara yao kila mwezi tena wengine bila ridhaa yao.huo nao ni ufisadi mkubwa.