Tamko la CHADEMA kuhusu mauaji ya Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la CHADEMA kuhusu mauaji ya Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mungi, Jan 12, 2011.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  CHADEMA leo kupitia Mwenyekiti wake Mh. Freemen Mbowe imetoa tamko kuhusu mauaji ya yaliyofanywa na polisi mjini Arusha.
  Alidai kuwa Maandamano ya tarehe 5 January yalikuwa halali, kibali cha kufanya maandamano ilitolewa na Jeshi la polisi Mchana wa Tarehe 4 Januari.
  Lakini baadaye IGP Mwema alikataza Maandamano kupitia vyombo vya habari usiku wa tarehe 4. Kimsingi siyo kila mtu anaangalia taarifa ya habari.

  Tamko.

  1. Waziri Nahodha na IGP Mwema wajiuzulu ama kufukuzwa kazi mara moja.
  2. RPC Andengenye na OCD Zuberi wajiuzulu na kushtakiwa mahakamani kwa kuua raia wasio na kosa.
  3. Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Ajiuzulu kwa kupindisha katiba makusudi, katika uchaguzi wa meya wa Arusha.

   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  peoples power ni zaidi ya andengenye na mwema/katili. sheria ichukue mkondo wake hawa watu wafikishwe mahakamani na hata mbele ya Ocampo. ule umati uliokuwepo pale unga ltd inaonesha jinsi gani chadema inakubalika.
   
 3. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tunataka utekelezaji wa maagizo haya maramoja, na JK atambue kuwa Umma unasubiri hatua ya haraka kwa hili, na kama anaogopa atoe taarifa au akae kimya kama alivyofanya kuhusu Dowans, lakini asilaumu pale umma utakapochukua hatua kuwawajibisha wote akiwepo na yeye!
  Hatutaki kuendelea kuona au kulea watawala ambao wapo ktk giza nene, hawaoni mbele na wamefilisika kifikra na hawana dira yoyote kwa umma na taifa lao! JK tunaomba uwawajibishe waliotajwa juu mapema sana!
   
Loading...