zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,362
- 9,882
Asante hata mimi nimemweleza Mlengo wa Noti kuwa ni ujinga kumcheka mzee wako mwenyewe akikaa uchi, eti kwa vile yanaibuliwa na wabunge wa CCM anaona sawa, ujinga ni jaa.
nakubaliana na wewe mkuu, huu ni mlengo wa noti. ila mkuu hiyo avatar yako yantia kinyaa aisee nikimwangalia mzee wa kiraracha, looh!