Tamko la CHADEMA asili

Hivi hiki chama cha "Chadema Asili" kimesajiliwa na msajili mkuu wa vyama....?
Makao makuu yao yako wapi?
Mwenyekiti & Katibu wao ni nani?
Ukawa umesajiliwa wapi? Makao yake yako wapi? Na mwenyekiti wake?
 
OK tumekusikia vipi? huko kwenu umagambani salama? maana nasikia wengine mmeapa kuahakikisha magu anapigwa chini??
 
Hapana CHADEMA ni moja wewe uliekwazika nakushauri nenda karambe dimu
Hapana mkuu
Tudai CHADEMA yetu imara ya kabla ya Oktoba mwaka jana,kabla hajaja Mheshimwa Lowassa

Sasa CHADEMA ni chama cha ndiyo mzee chochote wanacho ambiwa na serikali wanaufyata tu!Kufanya siasa ni haki yetu na kila Mbunge ktk Jimbo lake ilitakiwa awe imara afanye siasa

Sasa Lowassa ndiye kiongozi wa chama,kwa mkutano upi ulio mchagua?
 
kipara kipya kama kuna MICHANGO kuchangia harakati hizi tafadhali nijulishwe
Lowassa,Mbowe,Msigwa,Lissu na Mashinji OUT

Mnyika,Haonga,Heche,Silinde na Iron Lady wapewe CHADEMA yetu
 
Makamanda wote wanaogopa kuhoji,wamebaki kukaa kimya!
 
Mleta uzi acha kutoa povu. ..ondokeni mkaanzishe chama chenu...

Hauna tofauti na wale wanaolalamikia ndoa alafu hawaachani.

Pia huyo mzee alishasema mwende mahakamani nyinyi mnakuja kuleta porojo JF.

Kuwa mpole
 
OK tumekusikia vipi? huko kwenu umagambani salama? maana nasikia wengine mmeapa kuahakikisha magu anapigwa chini??
Tunamsubiri akipigwa chini tunamchukua si ndio mafisi yenyewe wamizoga!
 
Mleta uzi acha kutoa povu. ..ondokeni mkaanzishe chama chenu...

Hauna tofauti na wale wanaolalamikia ndoa alafu hawaachani.

Pia huyo mzee alishasema mwende mahakamani nyinyi mnakuja kuleta porojo JF.

Kuwa mpole
Tatizo mkuu umetawaliwa na hofu!
 
chadema asili wako wengi tu.wengi wamehama ccm wanaona angalau ccm ya magufuli inataka kukata kiu yao ya mabadiliko.chadema ya sahvi haieleweki kabisa inasimamia nn

Umenena mkuu
 
Mleta uzi acha kutoa povu. ..ondokeni mkaanzishe chama chenu...

Hauna tofauti na wale wanaolalamikia ndoa alafu hawaachani.

Pia huyo mzee alishasema mwende mahakamani nyinyi mnakuja kuleta porojo JF.

Kuwa mpole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…