TAMKO: CUF wamjibu Spika wa Bunge, baada ya kusema hamtambui Maalim Seif

Umeongea point
 
Hakuna namna unawazo kama langu ww, ni kumlaza chini tu huyu Lipumbavu shughuli iishe.



Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandae kufikishwa kwa Pilato. Usidhani kujificha kwa ID fake ndiyo uko salama. In this advanced electronic electronic era all social media data are accessible to the security organs without the awaress of even the owners of the respective electronic platforms. You can call it hawking.
 
Mbona umeandika kisichoeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vietnam hawakuanza vita kwa bunduki bali maneno! Kuna watu wameichoka hali iliyopo! Hakika Watanzania wanaelewa nini kinatokea kwa CUF. Nani wana mikono mirefu ndani ya kadhia hii. Si wapumbavu kama ilivyowahi kutamkwa. Vitu hivi vidogo vidogo vinajenga chuki ndani ya jamii! Watanzania wanaelewa sana mikakati inayofanyika. Wengi wako "aggrieved" kwani wanaendelea kuifundika "grief" Political Scientist wanafahamu kabisa bali wengi wanasema "wakati ukuta"
 
Adui chongo ameshafariki na hajaacha mrithi wa mavurugubyake ya kiasili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Civic united fools!kila siku taarifa zisizo na mashiko kubishana tu,professor anadunda
Naona mtatiro ameishiwa pumzi baada ya kuwashawishi wenzie wampuuze Lipumba,wanakuja kustuka Lipumba kawahi sehemu zote muhimu kimyakimya
 
Ha haaa acha kumtisha mwenzio mkuu by the way yy kamuita Lipumbavu we una mjua lipumbavu? case dismissed.
 
Any uncontrolled demolition of CUF if gone wrong there are two victims!
1. Zanzibar itself
2. Union
 
wacha kutisha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…