Tamka neno lolote la faraja kwa walimu

Tamka neno lolote la faraja kwa walimu

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,563
Reaction score
15,962
Wakuu,

Kama uzi unavojieleza naomba tutamke neno lolote la faraja kwa walimu wetu yaani kuanzia wale wa chekechea, shule ya msingi, sekondari, vyuo vya kati, vyuo vikuu maana wote hao ni walimu tu.

Ili watufundishie watoto wetu kwa moyo mmoja

Walimu mtulie kama maji mtungini,
 
Watakie faraja walimu maana leo umewatukana sana
1-Watimize tu wajibu wao vyema Ili CCM iwaheshimu na siyo kuwatumia kama toilet paper.
2-Wapendane wenyewe kwa wenyewe na kuchagua viongozi wenye uchungu nao na siyo kuchagua wasaka fursa kuongoza vyama vyao.
3-Waweke mbele utu na kufwata katiba na siyo kujihusisha kwenye controversial issues kama chaguzi na mambo ya siasa zisizo na msingi.
 
1658708881934.png
 
Halafu hiyo elimu inakusaidia nini wakati kazi hakuna
Hili si tatizo la waalinu. Kama wanawafundisha wanafunzi, wanaokuja kuwa wachumi, Wana mipango, wahasibu, wanasheria, tabibu, wakunga, rais, wabunge, wafanyabiashara, wakulima, na wote hawana akili ya kukaa na kujitengenezea fursa za kuendeleza nchi ili wanafunzi wasikose shughuli za kujiendeshea maisha yao. Unamlaumu aje mwalimu?
 
Back
Top Bottom