Walimu wameshazoea kudanganywa ndio maana na wenyewe wameamua kuwadanganya wanafunzi halafu mwisho wa siku iaibike serikali kwa matokeo mabovuTarehe 01 july 2011 ilifanyika sherehe ya miamba ya mitihani ya kidato cha sita 2011 miamba hiyo iliingia mjengoni dodoma na baadae jioni kwenye hafla kupewa zawadi kila mmoja laptop na fedha taslimu,kila shule husika ilipata milioni moja na ikatangazwa kila mwalimu wa somo husika atapata cheti na laki 5,jambo la kusikitisha inaonesha serikali wamedanganya walimu mpaka sasa katika utafiti wangu hakuna mwalimu aliyepata fedha hizo na kama amepata kapunjwa,je tutafika?hawa walimu watakuwa na moyo wa dhati kama kauli za serikali tena za waziri si kweli,jamani tuwaonee horuma walimu

Walimu wameshazoea kudanganywa ndio maana na wenyewe wameamua kuwadanganya wanafunzi halafu mwisho wa siku iaibike serikali kwa matokeo mabovu

walimu wa kibongo wanadanyika kirahisi na kero kibao mnazopata kutoka kwenye serikali ya CCM bado mnaendelea kuibakiza madarakani
Tarehe 01 july 2011 ilifanyika sherehe ya miamba ya mitihani ya kidato cha sita 2011 miamba hiyo iliingia mjengoni dodoma na baadae jioni kwenye hafla kupewa zawadi kila mmoja laptop na fedha taslimu,kila shule husika ilipata milioni moja na ikatangazwa kila mwalimu wa somo husika atapata cheti na laki 5,jambo la kusikitisha inaonesha serikali wamedanganya walimu mpaka sasa katika utafiti wangu hakuna mwalimu aliyepata fedha hizo na kama amepata kapunjwa,je tutafika?hawa walimu watakuwa na moyo wa dhati kama kauli za serikali tena za waziri si kweli,jamani tuwaonee horuma walimu

Walimu wameshazoea kudanganywa ndio maana na wenyewe wameamua kuwadanganya wanafunzi halafu mwisho wa siku iaibike serikali kwa matokeo mabovu

Kama wameshindwa kudai madai yao ya lazma kama fedha za likizo, wataweza kudai hizi zawadi?

Waalimu wamedharauliwa nao wakajidharau.

Tena walimu wa Universal Primary Education UPE wanaamini CCM imewalea, na wa secondary wale wakongwe lakini sio wote. Wengi sana wa secondari wanaichukia sana CCM na kuamini tumaini jipya kwa chama kimoja cha upinzani. Yaani kama mgomo ungetangazwa leo wa kudai maslahi ya walimu nadhani ni asilimia kubwa sana ya walimu wa secondary wataunga mkono. Nawaaminia sana walimu wa secondary lakini sio UPE.
Kama wameshindwa kudai madai yao ya lazma kama fedha za likizo, wataweza kudai hizi zawadi?

Waalimu wamedharauliwa nao wakajidharau.