Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,544
- 34,871
Dah! Maisha haya.....Unachosema ni sahihi, kuna Mwalimu wa kike wa shule ya msingi nilishuhudia amehama kwenda Arusha kwa barua ya kutoka moja kwa moja toka TAMISEMI kipindi ambacho uhamisho umesitishwa. Nilipomdadisi alisema kwamba imemtoka laki Sita.