Huo ni wizi na kuna mtu alishalizwa kupitia tangazo hilo. Kwenye utaratibu wa kuhama hakuna kitu cha kumsafirisha afisa kupeleka kibali. Huyu tapeli anatakiwa kuwa chini ya mikono ya ulinzi.
Nina uhakika tamisemi hawahusiki kwa hili na nina omba tusiwahusishe kabisa. Ni matapeli wanaotaka kujipatia fedha kwa njia za kilaghai.
..uhamisho uendane na malipo ya stahiki za watumishi wanaohama......maana wengi waliohama tangu mwaka jana hawajalipwa mishahara ya huko walikohamia....uhamisho uambatane na stahiki zote za watumishi wanaohama...vinginevyo ni wizi mtupu tu.....
Huu ni utapeli, hakuna cheo cha mzibiti wa uhamisho. Barua ya kiofisi especially from TAMISEMI haina k.k hizo zilizowekwa hapo. Hayo ni baadhi tu sitaeleza zaidi maana tapeli asijepitia uzi huu akaboresha ujuzi.
Mtumishi atakayeliamini tangazo hili inabidi aondolewe kwente orodha ya watumishi wa umma, maana akili yake ni mbovu sana.
Hili tangazo lina makosa zaidi ya matatu.
Hii Ni fake letter,barua kiserikali ikishakua nahiyo nembo ya bibi Na bwana haijitaji muhuri,pili uhamisho wa serikali unamlipiaje huyo anayepeleka hizo barua?kuwen makin matapeli kazin