TAMISEMI ni Wizara au ni Serikali?

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Sio haki TAMISEMI Nzima kuwa chini ya waziri wa kawaida anaye-report Kwa waziri Mkuu!!!!! TAMISEMI inahitaji kuongozwa na mtu ambaye Ana mamlaka ya karibia waziri mkuu na anatakiwa ku-report Kwa Rais Direct! Na waziri Huyo awe na mawaziri wote ambayo wanashugulikia mambo ambayo yamegatuliwa e.g. maji, elimu, Afya etc.
 
Sio haki TAMISEMI Nzima kuwa chini ya waziri wa kawaida anaye-report Kwa waziri Mkuu!!!!! TAMISEMI inahitaji kuongozwa na mtu ambaye Ana mamlaka ya karibia waziri mkuu na anatakiwa ku-report Kwa Rais Direct! Na waziri Huyo awe na mawaziri wote ambayo wanashugulikia mambo ambayo yamegatuliwa e.g. maji, elimu, Anya etc.

Hebu andika habari sasa baada ya utangulizi huo!!!!
 
Sio haki TAMISEMI Nzima kuwa chini ya waziri wa kawaida anaye-report Kwa waziri Mkuu!!!!! TAMISEMI inahitaji kuongozwa na mtu ambaye Ana mamlaka ya karibia waziri mkuu na anatakiwa ku-report Kwa Rais Direct! Na waziri Huyo awe na mawaziri wote ambayo wanashugulikia mambo ambayo yamegatuliwa e.g. maji, elimu, Anya etc.
To be honest hujaeleweka!! you are too angry and uncomfortable about the present status of TAMISEMI,what are your views? ku report kwa rais ndio kutabadili kitu gani? be elaborate young man.
 
TAMISEMI a.k.a. Local government ni serikali mahususi inayotambuliwa kwenye katiba! Sio haki the whole local government kuwa chini ya waziri Kama Hawa Ghasia!
 
Back
Top Bottom