Nsam
JF-Expert Member
- Oct 25, 2018
- 212
- 290
Nauliza hvi walimu wa degree hawatakiw kupewa kazi na serikali?
Je walimu wa sanaa hawatakiw kupewa kazi
Kuna watu wanajitolea shule za serikal hawapew kazi
Kwann msiajiri degree kw mshahar mdgo
Kuliko haya magumu wanayopata vijan
Fikirien upya
Biyaz ni mbaya sanaa
Tafadhali tunaomba koz za sanaa zifutwe