TAMISEMI itaje aina ya walimu wanaohitajika

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,851
Wizara ya Tamisemi imetoa taarifa kuwa kuanzia jumatatu ya tarehe 7 wahitimu wa fani ya ualimu waanze kuomba kazi.

Kulingana na idadi ya wahitimu inayohitajika ni dhahiri wengi watakuwa walimu wa masomo ya sayansi na wale wa shule za msingi.

Kuliko kuwasumbua vijana wote kuhangaika kutuma maombi na kutumia gharama kubwa, ni wakati sasa serikali iweke walimu na masomo yanayohitajika ili wale wasio husika wasisumbuke bure kutumia gharama kutuma maombi kumbe hawapo kwenye mpango wa kuajiriwa na serikali.

Itakuwa dhambi kubwa sana kuwaacha vijana kutuma maombi wakati serikali haina uhitaji wa masomo fulani.
 
TAKUKURU Ilala imemuonya Hashim Rungwe, mgombea Urais (CHAUMMA) kuwa kugawa chakula (ubwabwa) kwenye kampeni ni rushwa na ni kosa kisheria, Rungwe amesema atatumia ubwabwa kama Vyama vingine wanavyotumia Wasanii na amewataka wajiandae kupelekana Mahakamani.
#MillardAyoUPDATES.
 
Bila kutaja idadi ya walimu wanaohitajika taarifa haijakamilika
 
TAKUKURU Ilala imemuonya Hashim Rungwe, mgombea Urais (CHAUMMA) kuwa kugawa chakula (ubwabwa) kwenye kampeni ni rushwa na ni kosa kisheria, Rungwe amesema atatumia ubwabwa kama Vyama vingine wanavyotumia Wasanii na amewataka wajiandae kupelekana Mahakamani.
#MillardAyoUPDATES.
Ha ha ha! chagua Rungwe kwa maendeleo
 
Wizara ya Tamisemi imetoa taarifa kuwa kuanzia jumatatu ya tarehe 7 wahitimu wa fani ya ualimu waanze kuomba kazi.

Kulingana na idadi ya wahitimu inayohitajika ni dhahiri wengi watakuwa walimu wa masomo ya sayansi na wale wa shule za msingi.

Kuliko kuwasumbua vijana wote kuhangaika kutuma maombi na kutumia gharama kubwa, ni wakati sasa serikali iweke walimu na masomo yanayohitajika ili wale wasio husika wasisumbuke bure kutumia gharama kutuma maombi kumbe hawapo kwenye mpango wa kuajiriwa na serikali.

Itakuwa dhambi kubwa sana kuwaacha vijana kutuma maombi wakati serikali haina uhitaji wa masomo fulani.
Hakuna ajira.

Ukishatuma maombi ndio imetoka hiyo, utasubiri kupangiwa kituo cha kazi mpaka miguu iote tende.

Poleni ambao bado mnaamini neno linalotika kwa hilo 🐍🐍🐍
 
TAKUKURU Ilala imemuonya Hashim Rungwe, mgombea Urais (CHAUMMA) kuwa kugawa chakula (ubwabwa) kwenye kampeni ni rushwa na ni kosa kisheria, Rungwe amesema atatumia ubwabwa kama Vyama vingine wanavyotumia Wasanii na amewataka wajiandae kupelekana Mahakamani.
#MillardAyoUPDATES.
Mzee ana falsafa kama za Mugabe
 
HUU NI MWAKA WA UCHAGUZI WEWE OMBA TU. INAITWA FUNGULIA MBWA.

HATA KAMA ULIMALIZA 2009 NA UNA gpa ya 2.1 UNAPATA KAZI.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Wizara ya Tamisemi imetoa taarifa kuwa kuanzia jumatatu ya tarehe 7 wahitimu wa fani ya ualimu waanze kuomba kazi.

Kulingana na idadi ya wahitimu inayohitajika ni dhahiri wengi watakuwa walimu wa masomo ya sayansi na wale wa shule za msingi.

Kuliko kuwasumbua vijana wote kuhangaika kutuma maombi na kutumia gharama kubwa, ni wakati sasa serikali iweke walimu na masomo yanayohitajika ili wale wasio husika wasisumbuke bure kutumia gharama kutuma maombi kumbe hawapo kwenye mpango wa kuajiriwa na serikali.

Itakuwa dhambi kubwa sana kuwaacha vijana kutuma maombi wakati serikali haina uhitaji wa masomo fulani.
Umeshaanza kujishuku??
 
Tafuta mtu wizarani mpe chochote bila ya hivyo hii ajira kupata ni ngumu. Wanaotakiwa elfu 13 kati ya laki 2 waliomtaani
 
Back
Top Bottom