TAMISEMI inazidi kujibaraguza katika suala la ajira

TAMISEMI inazidi kujibaraguza katika suala la ajira

Nsam

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2018
Posts
212
Reaction score
290
Tamisemi imewapaje watu kazi waliohitimu 2019 2018

Wakati katika tangazo ilisema haitaajir watu wa waliohitimu 2019 college?

Mbali na hapo kuna watu wamehitimu 2015 university hawajapewa kabisa kuna 2019 amepewa je kigezo kipi kimetumika?

Pia katika kuuthirisha uzembe na umamluki wa TAMISEMI na serikali kwanini kuna watu hewa wasio na vituo!

Lakini serikal isipinge kabisa hizi ajira watu wamepewa kwa connection!!

Kuna rafik ang yeye anasema kuna mtu alimuunganishia kabisa. Je, nani ataamini hii nchi au malipo ya uchaguzi?

Pamoja na hayo watu wanaohitimu degree kwanini hawana kipaumbele katika ajira.

Au degree zimekuwa chini kuliko certificate.

Huu ni uhuni hata wajitete vip?

Tulijua tu Hili tangazo la kazi kuna wakubwa walitaka kuingiza watu wao kazini.

Mketukesesha usku na Oteas.
 
Suala la kutoajiri waliomaliza 2019 ni propaganda tu.

Nachoshangaa mimi ni kwamba, zile namba zinazoonekana pale ni za kidatoncha nne, ni namna gani mtu aliyemaliza 2019 form 4, akawa na taaluma ya ualimu. [emoji1]
 
Write your reply...

Kwani ww hujawahi kusikia walimu wa vodafasta?!!!au unahis raha unapoipinga serikali
 
Back
Top Bottom