Alwatan kamba
Member
- Nov 16, 2020
- 70
- 236
Katika muendelezo wa kubaini uozo uliopo kwenye ajira za walimu hatimaye nimekutana na walimu ambao elimu zao za kidato cha nne zinaacha maswali mengi kutokana na namba zao za kidato cha nne kutotambulika na baraza la mitihani (NECTA).
1. SHAFII MOHAMED NAMKURUNG'UNDU
Mtajwa hapo juu ameajiriwa na tamisemi kuwa mwalimu wa shule ya msingi kyela.
Namba yake ya kidato cha nne aliyotumia ni S0738-0076/2019
Katika kujiridhisha na uhalali wa hiyo namba, nimegundua kuwa center namba ya shule (S0738) ni sahihi kwani ni center namba ya shule ya seminary Ridhwaa.
Lakini namba ya mwanafunzi na mwaka wa kumaliza ni vya uongo kwani katika shule hiyo ni wanafunzi 61 tu waliokuwa wamesajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha nne kwa mwaka jana (2019) na hivyo namba ya mwisho ya mtahiniwa ilikuwa ni S0738-0061/2019. Je, namba hii S0738-0076/2019 imetoka wapi?
Ushaidi huu hapa chini pia waweza kujiridhisha kwa kuangalia kupitia tovuti ya necta.
2. REUBEN OBED BEGENDANA
Namba yake ya kidato cha nne ni hii hapa S0151-0785/2015
Katika kuchunguza nimebaini kuwa center namba S0151 inatumiwa na shule ya kidato cha sita na sio kidato cha nne. Hivo kwenye baraza la necta S0151-0076/2015 haitambuliki.
Namba zingine ambazo hazitambuliki na baraza ni hizi za walimu wafuatao
3. S0660-0541/2019 imetumika na ANTIA DEOGRATIAS ANGELO ambaye ameajiriwa na tamisemi kuwa mwalimu wa biology na physics.
4. S1380-0852/2019 imetumika na LUCAS EMMANUEL CHIWALE kaajiriwa kuwa mwalimu wa chemistry na physics
5. S1380-1058/2019 imetumiwa na SHOTO SOSTHENES NYANDA
6. S0566-1259/2019 imetumiwa na SIMPSON RUGARABAM BUGENYI
7. S0660-0926/2019 ya SOPHIA JUMANNE ATHUMAN
Zingine ni S0566-1215/2019 na S0440-0963/2019
Namba zote hizo hazina matokeo ya kidato cha nne.
Je ni walimu wa UPE wamekuja kivingine?