Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,481
- 5,357
Bado niko na nyie TAMISEMI nani anawatia kiburi cha uzima? mmefungua page mitandaoni ila hamna mtu mnaweza kumjibu, mmeweka huduma kwa wateja ila wahudumu mmewaweka kama pambo hawaelewi chochote je hii ina maana gani?
Mchengerwa wewe kwa kuwa umeteuliwa hutaki kujichosha maana cheo kipo tu hata ukiendelea kulala,umekuwa na kiburi sio poa?
Kingine tumeomba uhamisho wa kubadilishana imeshindikana je inabidi tuombeni upya tena kupitia mfumo, ebu tutoleeni ufafanuzi ili tujue moja. Haiwezekani maombi yaliyokwisha kufika TAMISEMI yachakatwe kwa mwaka mzima, hizi ni dharau za wazi mnatupuuza kwa kuwa hatuna impact yoyote siyo?
Kama TAMISEMI mna page hapa JamiiForum naombeni ufafanuzi.