Tambwe Hizza VS John Shibuda

WISDOM SEEDS

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
841
Reaction score
282
WaJF, kati ya wanasiasa hawa wawili; John Shibuda na Tambwe Hizza nani mwenye hekima
au mwenye mchango mzuri kwenye siasa?
 
dah! mtihani mgumu.lakini bora shibuda.hiza usiombe kumsikiliza yaani ni upupu upupu.
 
waulize vijana waliokuwa ihemi iringa kwenye kambi la uvccm manake alikuwa ana kipindi maalumu cha propoganda
 
akili za tambwe zipo ktk ncha ya masabuli yake, heri aongee akiwa amesimama, akikaa anazikalia na kuziminya basi hapo ni pumba tupu.
 
Tambwe VS Shibuda!!??
Bora Shibuda, unaweza hata kucheka ukadhani ni utani!
Tambwe, hata kuchekesha hafai anakera tu!
 
nafikiri afadhali Shibuda kuliko Hiza maana tunapata misamiati mipya na maneno mapya ya kiswahili kama UJIRA WA MWIA
 
WaJF, kati ya wanasiasa hawa wawili; John Shibuda na Tambwe Hizza nani mwenye hekima<br />
au mwenye mchango mzuri kwenye siasa?
<br />
<br />

Wote mavuvuzela tu hawana tofauti.
 
Tambe hizza ana afadhali kuliko magale shibuda kwasababu shibuda uwa ana mwezi mchanga sasa ugonjwa unapomfika anapokuwa anaongea huwa anaongea pumba kama si upumbavu lakini kwa upande wa hizza tambwe yeye ni mchumia tumbo tu na iyo ndo tofauti kati yao.
 
Shibuda yupo Makini na ana maanisha anachokiongea ni kwa vile watu wengi hawamuelewi hisia zake ila ni mpambanaji hasiyemuogopa mtu na pia anayeongea ukweli bila kuulemba, hili swala la Posho filosofia ya Shibuda haieleweki kwa sababu wengi wetu tunapenda wana siasa waongo na wanatuhadaa ndio maana tuna sema fulani yupo zaidi ya kuliko fulani, Shibuda anaweza kuwa anapinga Posho kwa dhati kuliko hao wanaongea kuonyesha kwao wao ndio wapingaji namba moja huku wanaichukua na wamekuwa wanaichukuwa miaka yote maana hata hao wanahadaa sasa hivi wamekuwepo Bungeni miaka kadhaa na wamekuwa wakipokea hizi posho mbona hawakuwai kusema hawazitaki? Hapa mjinga na anayeumia ni sisi ambao tunajiliwaza na kuishi kwa imani juu ya maneno ya wanasiasa.
 
Shibuda ni nunda sana huyu jamaa! Halafu hana mtaji wa wapiga kura kwao Maswa.
Tambwe Hizza hana kitu zaidi ya upambe kwa Makamba, kaishagombea Ubunge vipindi vitano na vyote anaanguka vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…