Tambwe Hiza kuwa M/Kiti CCM Taifa

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Nimepata tetesi kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa mh. huyo kuwa mwenyekiti wa chama hilo kongwe nchini na Afrika hapo 2012 ili JeyKey ajikite kwenye urais tu. Kisa alifanikiwa sana katika kampeni kusambaza propaganda za udini kwa sms. Hili ninawezekana kweli?
 
Yule hawezi kupewa Kigoda hata siku moja atabaiki kubwabwaja kama jibwa kibogoyo.
 
Hivi unaona raha gani kupoteza muda wa watu kufungua thread hii ambayo kwa kiasi kikubwa inanadi sifa kuu uliyonayo ambayo ni umajununi?
 
:help:

Najua haiwezekani kwa kichaa yule kupewa taasisi kama ile.........na kama CCM watakubali kumpa mwehu yule (japo najua hawashindwi hasa kama kuna maslahi makubwa nyuma yake) basi litakuwa jambo zuri sana na lenye kufurahisha kwa tulioyachoka haya mambayuwayu y anjano na kijani
 
Nimepata tetesi kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa mh. huyo kuwa mwenyekiti wa chama hilo kongwe nchini na Afrika hapo 2012 ili JeyKey ajikite kwenye urais tu. Kisa alifanikiwa sana katika kampeni kusambaza propaganda za udini kwa sms. Hili ninawezekana kweli?

Mwenztu unaishi China au Australia nini?? Inaelekea huko sasa ni tarehe 01 April 2011. Tatizo huku Africa bado ni tarehe 31 March 2011, about 10 hours to Fools Day!!!
 
Yule hawezi kupewa Kigoda hata siku moja atabaiki kubwabwaja kama jibwa kibogoyo.
Katika chama Engine ni Katibu Mkuu maana ndiyr mtendaji mkuu. Sasa kama CCM wameweza kumpa Makamba ukatibu mkuu wanashindwa nini kumpa Tambwe kigoda? au hamuijui CCM kwa maajabu? Kwanza yupo yule Kingmaker wao akiangalia maslahi yake yakoje anaweka mkakati wa amtakaye na inakuwa hivyo. Makamba na Tambwe tofauti iko wapi?Hii ndiyo CCM ya sasa, lolote linaweza kufanyika.
 
Nimepata tetesi kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa mh. huyo kuwa mwenyekiti wa chama hilo kongwe nchini na Afrika hapo 2012 ili JeyKey ajikite kwenye urais tu. Kisa alifanikiwa sana katika kampeni kusambaza propaganda za udini kwa sms. Hili ninawezekana kweli?

Tetesi? Najua ni kabla ya saa sita ya tarehe moja. Unataka tuamini kuwa CCM imefilisika kiasi hicho hadi Tambwe apewe uenyekiti? Pamoja na kufilisika kwao, kwa hilo sitaki kuamini hata kwa punje moja. Labda mwenyekiti wa Tawi la CCM huko Mbagala Majimatitu.
 
Unapotoa hoja ya kipuuzi na wala huoni wala hutambui ujue unatatizo kubwa kuna umuhimu Wa kutafuta ufumbuzi haya tujipime basi...
 
Back
Top Bottom