TAMBWE HIZA: CUF ni chama cha mtu mmoja

TAMBWE HIZA: CUF ni chama cha mtu mmoja




Alisha wahi kusema ukiwa CCM utakuwa na mataitzo ya akili......naona na yeye saiv atakua na hayo matatizo...

huyu jamaa niliwahi kumsikia akisema kuwa akihamia ccm kutoka cuf atamzini mama yake,ina maana anaishi nae bed moja kwa sasa?
 
..inawezekana alikula mzigo kwa bi'mkubwa,maana hata pozi lake,kama ana mawenge flani hivi!
 
Alisema hata matukio ya mabomu Arusha yanasababishwa na magazeti ya Alhamisi na juma ngapi vile? (alitaja alhamisi na sikunyingine sikumbuki vizuri) Sasa nikawa najiuliza hapa kwenye kuua watu magazeti yamehusikaje? Huu nao si uchochezi kwa kuyatuhumu magazeti (waandishi)? Au wanataka magaeti yasiwe yanaandika ukweli?
 
Back
Top Bottom