Tambwe arudi cuf?

Tambwe arudi cuf?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
270
Kuna tetesi hapa TEMEKE kwamba TAMBWE HIZA tayari ameikacha CCM na kurudi tena katika chama cha cuf na kupokelewa na TAWI la hapa leo mchana
wenye taarifa zaidi
 
Kuna tetesi hapa TEMEKE kwamba TAMBWE HIZA tayari ameikacha CCM na kurudi tena katika chama cha cuf na kupokelewa na TAWI la hapa leo mchana
wenye taarifa zaidi

Bingwa vipi tena....
 
Kajivua gamba huyo; hakuna jipya ni kawaida ya nyoka hiyo!
 
CUF na CCM lao ni moja,me sishangai hawana jipya.
 
Vipi kajifungua mtoto gani kakataliwa na baba yake ccm maana ile mimba yake ilikuwa pevu
 
Hao ndio baba yao Makamba aliosema ametangulia kwenda kuwatengenezea makao!!
 
Kutoka CCM kwenda CUF?
Sawa na Kutoka Muhimbili kwenda Mwananyamala
 
Baba yake alompa kazi kamwagwa.. sasa asubiri nini, kufukuzwa???
 
Back
Top Bottom