Nawasalim wakuu,
Nimefanya research ndogo na nimefikia conclusion ya kwamba wake zetu wanaamini sisi tutakufa na tutawaacha. Na huwa wanatamka kwamba mume wangu tujenge isije likatokea lakutokea ukaniacha na watoto hakuna pakuishi. Au utasikia mume wangu niandikie wosia au hati fulani andika jina langu kabisa ili ukifa nisije kusumbuliwa na mawifi nakadhalika hizi ni lugha wanaume tunazisikia.
Na pia nimefanya utafiti nimegundua kwamba asilimia kubwa ya vilio vya wanawake pale unapofariki ni unafiki na ubinafsi. Utawasikia umeniachia watoto peke yangu nitalea na nani mimi? hapa huwa baada yakufa wewe automatically anawaza mrithi wako. Hii ni sahihi kwani wanasema ukitaka kuwin heart of the widow, jiweke karibu sana kipindi cha msiba. Jifanye unamfariji sana , mfano baada ya kuzika mpigie simu au nenda baada ya watu kuondoka msalimie mfariji 100% utakuwa mrithi...
So wanaume wenzangu, tuwe makini na tukubaliane na hali kwamba wenzetu hawa wapo kwa maslahi tu....
Nangu Mandokwa