Tambua ya kwamba mke wako anaamini utakufa kabla yake!!!

Wala hukuwa unahitaji utafiti. Ndio hali halisi. Hata mimi huwa nahisi nitaanza kufa mimi.

Kwa msukosuko wa maisha ninayopitia, Hali ngumu ya maisha, Madeni, kutoelewa ndani ya nyumba nk. Mwanaume lazima atangulie aisee.
 
Mm sitaki shida,

Viwanja na nyumba nimeandika majina yetu wawili, nikibahatika kujenga nyingine naandika jina la mtoto hivyohivyo nawarithisha mapema..

Ninastruggle kwa ajili ya watoto wasije kuwa ombaomba....
 
Kwani hujui kuwa wanaume ni wapiganaji na hivyo through mapambano ni kwamba unaanza kufa kiafya,kisaikolojia na wengi tunachukua wanawake wadogo?ukitaka mufe wote oa mzee kama wewe mwenyewe na bado yeye kwa kupumzika sana ataishi kuliko wewe.
Muhimu ni kuwa,TUMBUA KAMA UNAKUFA BAADAE,SAVE KIDOGO kama HUTAIONA KESHO.
 
Hii kitu huwa inasaidia kuleta utulivu kwenye ndoa, wanawake wengi wanaoteseka na ndoa huvumilia tu cuz wanakuhesabia siku zako utakufa umuache.... ni kauli ya hovyo hakuna mwanamme atapenda kuisikia ingawa mke anavyoitoa anadhani ni bonge la ushauri.
 
Mbona ni kawaida hio na hii inatokana na stress ambazo wanawake wanatupatis sisi wanaume hivyo kutangulia sisi no kawaida ila binafsi siwezi kuandika hati either ya nyumba jina la mwanamke au mke wangu maana general rule ni kwamba utapofariki warithi ni mke na watoto labda kwa wenzetu wale wanaorithisha mpaka mjomba shangazi etx etx
 
Nawasalim wakuu,

Nimefanya research ndogo na nimefikia conclusion ya kwamba wake zetu wanaamini sisi tutakufa na tutawaacha. Na huwa wanatamka kwamba mume wangu tujenge isije likatokea lakutokea ukaniacha na watoto hakuna pakuishi. Au utasikia mume wangu niandikie wosia au hati fulani andika jina langu kabisa ili ukifa nisije kusumbuliwa na mawifi nakadhalika hizi ni lugha wanaume tunazisikia.

Na pia nimefanya utafiti nimegundua kwamba asilimia kubwa ya vilio vya wanawake pale unapofariki ni unafiki na ubinafsi. Utawasikia umeniachia watoto peke yangu nitalea na nani mimi? hapa huwa baada yakufa wewe automatically anawaza mrithi wako. Hii ni sahihi kwani wanasema ukitaka kuwin heart of the widow, jiweke karibu sana kipindi cha msiba. Jifanye unamfariji sana , mfano baada ya kuzika mpigie simu au nenda baada ya watu kuondoka msalimie mfariji 100% utakuwa mrithi...

So wanaume wenzangu, tuwe makini na tukubaliane na hali kwamba wenzetu hawa wapo kwa maslahi tu....

Nangu Mandokwa
Hi inatokana na kua tunaoa wake tulowazidi sana kimiaka ndo maana
 
Hilo ni kweli..

Nilinunua kiwanja, kwenye hati ya hicho kiwanja, nikaandika jina la sister yngu..

Sasa kuna manzi nimezaa nae, alivyosikia kuwa kwenye hati ya kiwanja nimeandika jina la sister, ali-mind kinyamaHuku akisema...
Ukifa mimi na mwanangu tutakaa wapi?.

Mimi nikamuuliza..
Umejuaje kuwa mi nitakufa kabla yko?
kiwanja unaandika jina sister??? anayemgonga huyo dadaako ndio mmiliki wa hicho kiwanja ,we ni boya sana yani una mtoto halafu kiwanja ni kama umemnunulia basha wa dadaako
 
  • Thanks
Reactions: T11
Hilo ni kweli..

Nilinunua kiwanja, kwenye hati ya hicho kiwanja, nikaandika jina la sister yngu..

Sasa kuna manzi nimezaa nae, alivyosikia kuwa kwenye hati ya kiwanja nimeandika jina la sister, ali-mind kinyamaHuku akisema...
Ukifa mimi na mwanangu tutakaa wapi?.

Mimi nikamuuliza..
Umejuaje kuwa mi nitakufa kabla yko?
Badilisha sasa ni wakati muafaka
Ushaoa
Una watoto
Una mama na baba
Why sister?
 
Back
Top Bottom