Tambua ya kwamba mke wako anaamini utakufa kabla yake!!!

Na ni kweli wanaume wengi wanaanza kufa kabla ya wake zao ,,na mara nyingi akifa mwanamke kwanza mwanaume hachukui mda anafuata nyuma

Anaweza kufa mwanaume ,mwanamke akapiga hapo miaka yake kumi kabisa ,,lakini akitangulia mwanamke ,mwanaume mara nyingi amalizi mitano.

.
RIP Kibonde.. huyu baba aliniuma sana aisee
 
Lol, mzee nilichosoma kwako ni ile hofu kua ukidanja wadaka chozi watakurithi, hahaha ila ni ukweli halisi kua wanaume hutangulia kufa kwenye familia nyingi kwa hiyo kusema atabaki vipi na watoto yupo sahihi.
 
Hilo ni kweli..

Nilinunua kiwanja, kwenye hati ya hicho kiwanja, nikaandika jina la sister yngu..

Sasa kuna manzi nimezaa nae, alivyosikia kuwa kwenye hati ya kiwanja nimeandika jina la sister, ali-mind kinyamaHuku akisema...
Ukifa mimi na mwanangu tutakaa wapi?.

Mimi nikamuuliza..
Umejuaje kuwa mi nitakufa kabla yko?
Sasa wewe uliandika jina la dadako kwenye kiwanja ili iweje wakati tayari una mtoto na pengine wazazi wako pia wapo?
 
Mimi natafuta now nna mtoto mmoja yupo kwa mamake. matumizi napeleka ili mtoto anione kila siku! asije akajazwa sumu na mamake.

Ndoa sitaki hata kuisikia nisije kufa mapema
 
Sasa wewe uliandika jina la dadako kwenye kiwanja ili iweje wakati tayari una mtoto na pengine wazazi wako pia wapo?
Dada yangu ni mtu wa pekee sana kwangu, hali anayoipitia inanigusa moja kwa moja(ni mjane).

Kiwanja ni kikubwa, anaweza kujenga nyumba yke na kubaki eneo lingine kubwa tu, ambalo ninaweza kulitumia mimi kwa matumizi yngu.

Endapo nisingelifanya hivyo, na ikaja tokea mimi sipo, huyu (mama wa mtoto wangu) anaweza mfurusha dada yangu, kwa madai kuwa pale ni kwake na mtoto wake, kitu ambacho mimi sitaki kitokee..

Dada yangu ninamuamini kuliko huyo mwanamke, hawezi kuja nibadilika hata iweje.
 
Zana ya kwamba mwanaume hutangulia kufa kabla ya mke inatokana na mambo mawili ambayo yamezoeleka

1. Kwamba wanawake weng huolewa na wanaume wakubwa waliowazidi miaka 10 hivi au 8, hapo zamani kufa ilitokana na dhana ya uzee, kwamba wazee wanakufa kabla ya vijana
2. Kwamba, mwanaume anakuwa na majukumu mengi sana hvyo mda mwingi anaishi kwa mawazo, hali inayompunguzia umri wa kuishi.

Mambo yamebadilika, sasa hv watu wanaoana wakiwa hawajapishana umri mrefu tena sasa hv mwanaume mdogo anaoa mwanamke mkubwa......

Masuala ya kiuchumi yamebadilika, wanawake nao wamekuwa watafutaji wa pesa

Kwa hiyo kwa sasa, mume au mke yeyote anaweza kutangulia kufa, jambo la msingi mke na mume waishi ktk maisha ya ndoa ambapo mali wanazochuma hazitakuwa na nafasi kubwa kulinganisha na upendo wao
 
Hii ni kwa nchi za AFRIKA na hutokana na wanaume kutumia muda mrefu wakifanya kazi ambazo pia kazi hizo hutumia nguvu nyingi mno na hapo hapo huyo mwanaume ana jukumu la kutunza familia tatu ya kwake ,ya mke wake pamoja na ya ndugu zake hii hupelekea stress ambazo ukichanganya na uchovu matokeo yake ni magonjwa makubwa kama kiharusi na vidonda vya tumbo pamoja na pressure ambavyo vyote hivi hupelekea kifo.
Kingine ni lifestyle ya sisi wanaume huwa ina RISK sana maisha yetu .
Angalia upande wa pili sasa mwanamke wa kiafrika ana majukumu mangapi?
 
Na ni kweli wanaume wengi wanaanza kufa kabla ya wake zao ,,na mara nyingi akifa mwanamke kwanza mwanaume hachukui mda anafuata nyuma

Anaweza kufa mwanaume ,mwanamke akapiga hapo miaka yake kumi kabisa ,,lakini akitangulia mwanamke ,mwanaume mara nyingi amalizi mitano.

.
Sio Kweli Jamaa yangu mke kafa at her peak mwaka 2008.. mwezi haujapita akachukua mtoto mkali na mpaka leo wanadunda!
 
Hii ni kwa nchi za AFRIKA na hutokana na wanaume kutumia muda mrefu wakifanya kazi ambazo pia kazi hizo hutumia nguvu nyingi mno na hapo hapo huyo mwanaume ana jukumu la kutunza familia tatu ya kwake ,ya mke wake pamoja na ya ndugu zake hii hupelekea stress ambazo ukichanganya na uchovu matokeo yake ni magonjwa makubwa kama kiharusi na vidonda vya tumbo pamoja na pressure ambavyo vyote hivi hupelekea kifo.
Kingine ni lifestyle ya sisi wanaume huwa ina RISK sana maisha yetu .
Angalia upande wa pili sasa mwanamke wa kiafrika ana majukumu mangapi?
Sawasawa
 
Mimi huwa naamini kabisa kwamba wanawake sio binadamu ...ni viumbe tu! niulize ni kwa nini?
Najua wapo wanawake watakaoporomosha matusi kwa kutaja mambo mengi lakini ukweli uko palepale.
 
Of which is not true... They are not God, why be troubled
Nawasalim wakuu,

Nimefanya research ndogo na nimefikia conclusion ya kwamba wake zetu wanaamini sisi tutakufa na tutawaacha. Na huwa wanatamka kwamba mume wangu tujenge isije likatokea lakutokea ukaniacha na watoto hakuna pakuishi. Au utasikia mume wangu niandikie wosia au hati fulani andika jina langu kabisa ili ukifa nisije kusumbuliwa na mawifi nakadhalika hizi ni lugha wanaume tunazisikia.

Na pia nimefanya utafiti nimegundua kwamba asilimia kubwa ya vilio vya wanawake pale unapofariki ni unafiki na ubinafsi. Utawasikia umeniachia watoto peke yangu nitalea na nani mimi? hapa huwa baada yakufa wewe automatically anawaza mrithi wako. Hii ni sahihi kwani wanasema ukitaka kuwin heart of the widow, jiweke karibu sana kipindi cha msiba. Jifanye unamfariji sana , mfano baada ya kuzika mpigie simu au nenda baada ya watu kuondoka msalimie mfariji 100% utakuwa mrithi...

So wanaume wenzangu, tuwe makini na tukubaliane na hali kwamba wenzetu hawa wapo kwa maslahi tu....

Nangu Mandokwa
 
Back
Top Bottom