Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

Dah....msijidanganye nyie....hakuna mwanamke anayependa maisha magumu....labda awe na kasoro au ameona kuna future nzuri mbeleni...
 
Karibu futari jioni,

Umenifanya nianze upya mapambano maana nishapoteza mara 3!

NARUDI TENA, VITA INAANZA
 
Wapo lakini wengi wao ni polygon kwa hali ya sasa watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji na ukizifuma yule aliyekuvumilia utamuona km Mzee na jinsi mlivyo wanaume ukiwa vizuri kiuchumi basi hata kula utataka ule vilivyonona ni hayo tu
Ukute wewe mwenyewe umbo sanamu la Micheline umbo kuanzia juu mpaka chini vyote vipo sawa,
 
Haijarishi uwe maskini au tajiri lakini Mke mwema ni vipindi vyote huweza kupatikana . Umaskini si kipimo cha Mke mwema .
 
Huyo mwanamke yuko real na wewe mzee, kama anakukomalia sana just check afya yake kwa ujumla kisha kaa nae kwa kutulia tu.
Wanawake real wapo ila tatizo men are too blind to see 'em! Ukiwa na pesa wengi wanafata maisha mepesi na umaarufu tu ila kupata alie na upendo 100% ni ngumu sana. Rember a womans loyalty is tested when a man has nothing bruh
 
Mahusiano ya siku hizi asilimia 96% ya wanawake wanataka penye maisha mazuri tu. Sio mwanaume anapendwa, vinavyo pendwa ni vilivyomo those material things kama utakuwa huna gari, huna nyumba na gari, huna kazi ya maana, huna mshahara, basi huwezi kuoa kirahisi hizi jamii zetu za kibantu. 96% yes likes money, hizo 4% zilizobaki ndio mazali ya mentali yapo huko kibahati bahati. Mimi nimexperience hii hali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…