Generation angalia digits
Zikiwa 3 mfano 950, 610, 830 hizi ni 1st generation za intel processors
Zikiwa digit 4 angalia digit ya kwanza
Mfano core i5, 2350 hii ni 2nd generation
Ikiwa core i7 3750 hii ni 3rd gen
Ikiwa core i3 4320 hii ni 4th gen
Hivyo hivyo mpaka 10th gen
Unachoangalia ni hizo digits zinazofata baada ya core ix..... Xxxx
Asanteni kwa elimu maridhawa kabisaKama mdau hapo juu alivyosema ni Gen ya kwanza hio, haina tofauti sana na Core 2 duo.
Ukibafilisha unaenda i7 yake ambayo nayo ni ya kawaida vile vile.Asanteni sana, sasa je inaweza kubadilishwa?
Haiwezekani mkuu mpaka ubadili motherboard.Kubadilisha iwekwe ya 4th gen inawezekana?
inawezekanaKubadilisha iwekwe ya 4th gen inawezekana?
Inategemea na bei uliyouziwa mkuu,Nimepigwa sio?