Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Hii Ni njia nyepesi sana kujua Baadhi ya Tabia Ngumu kuzijua kwa Mwanamke ila Nyingi hujitokeza akiwa kwenye siku zake au Mjamzito.
Nitfafanua zaidi Baadae.
Nitfafanua zaidi Baadae.
Wewe bure kabisa!
Nyumbu wa Serengeti... Punda kihongwe..... suruali ya Ngoswe wewe .Hii Ni njia nyepesi sana kujua Baadhi ya Tabia Ngumu kuzijua kwa Mwanamke ila Nyingi hujitokeza akiwa kwenye siku zake au Mjamzito.
Nitfafanua zaidi Baadae.
AmeenZero Brain
Nahisi unaangalia ni nani kaleta uzi, kama ni fulani hata kama ni uzi wa kipuuzi uta-sound good.Mada gani sasa. JF imepoteza taswira
Wewe bure kabisa!
Kweli naona dira inavyo tokomea kila uchwao......Mada gani sasa. JF imepoteza taswira
Please.......Nahisi unaangalia ni nani kaleta uzi, kama ni fulani hata kama ni uzi wa kipuuzi uta-sound good.