Tambua muda wa kukaa kimya

Kukaa kimya napo ni kipaji, japo mara nyingi inasaidia sana hasa kama haitachanganywa na kisirani au dharau.
Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Mithali 17:28
Kwa mfano we ndo mwalimu, mwanafunzi anakosea halafu unamuliza anakaa kimya.... Utaona sawa.... Au utamwona ana dharau na kiburi?
 
Mh
 
Napoamua kukaa kimya huwa inakuwa milele mpk siku nayoingia kaburini hutosikia nikikwambia kitu
 
Wakati mwingine kimya kingi kinapelekea msongo wa mawazo- hata kifo.binadamu akivumilia sana machungu bila reaction yoyote anaweza dhurika vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…