Tambua mambo waliopanga wazungu miaka 2000 baadae

Tambua mambo waliopanga wazungu miaka 2000 baadae

Eti kujenga bomba la mafuta mpaka kwenye sayari. Uongo huu Kama wa ccm
 
Hiyo ya kuconnect computer na brain elon musk atalitekeleza mwishoni mwaka huu wala sio 2060.
Kwa kutumia chip zake za neuralink.
Imeshapandikizwa kwa kima ambaye anaweza kucheza game kwa kutumia brain.

Elon musk ameshaanza kutest rockets zake za starship kwa ajili ya safari ya mars 2024 pia wakaanze kutengeneza atmosphere itakayokidhi mahitaji ya binadamu option moja wapo nikui-nuke mars ili iwe habitable.

Kuhusu kutengeneza mabomba kutoka sayari nyingine kuja earth that's impossible.

Africans tumepanga nini?
Ukiondoa mpango wa vijana wengi wa kula tunda kimasihara.
 
i think zingine ni ngumu kuzifikia.mfano kuishi mars na kuleta mabomba huku duniani ni stori tuu.hata hiyo miaka 300 nafkir ni ngumu.vitabu vya dini vishaweka limit ya 70 nyongeza ni shida tupu...inshort hii dunia kuna vitu tumefichwa vya umuhimu na tunapewa mbadala wa maneno mengi ya uongo kutujaza matumaini hewa.duniani kuna dome of firmament ambayo huzuia kitu kitoke duniani.we jiulize kwa nini nasa hawajawahi kusema wanaenda mwezini tenah??.wanadai eti kuna mikanda uko hewani (belts) zinawazuia kupasua anga juu zaid.sa jiulize technologia waliyoitumia mwanzoni waliipeleka wap??
Ukijenga hoja kwa kutumia kitabu Cha dini tu unaonekana ni jinsi gani usivyo serious!hivyo vitabu wamekuandikia wao half washindwe vingine!
 
Tambua Mambo tunayopanga waTZ,
1.2019 October, tulipanga kumpitisha kw gharam zozot zile bwan mkubw
2.2020 tunapanga kuanzisha history ya kiswahili ni compulsory kutk primary- elim y juu
3. 2022,tunapnga wananch kuisom namb,kuish Kam misukule,
4.2024-25 tunapnga kumuongezea muda mungu atawale atleast 10 years again
5. tunapang ifikapo 2025- 26 tuwe tumepunguz population ya watu ipatayo 20 million kwa ugonjw wa upumuaj
6.2032 nchi itakua imemshinda ataiuza kwa wachina na tutalud kwny utumwa.
7.kupanga ni kuchagua, chukua tahadhari
*Mabeberu na wapinzani wametuchelewesha Sana au mnasemaj ndug zangu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mungu oyeee.....asanteni watanzania kwa kuniombea..

Au nasema uongo ndugu zangu
 
i think zingine ni ngumu kuzifikia.mfano kuishi mars na kuleta mabomba huku duniani ni stori tuu.hata hiyo miaka 300 nafkir ni ngumu.vitabu vya dini vishaweka limit ya 70 nyongeza ni shida tupu...inshort hii dunia kuna vitu tumefichwa vya umuhimu na tunapewa mbadala wa maneno mengi ya uongo kutujaza matumaini hewa.duniani kuna dome of firmament ambayo huzuia kitu kitoke duniani.we jiulize kwa nini nasa hawajawahi kusema wanaenda mwezini tenah??.wanadai eti kuna mikanda uko hewani (belts) zinawazuia kupasua anga juu zaid.sa jiulize technologia waliyoitumia mwanzoni waliipeleka wap??
Ona huyu nae
 
Hiyo kuunganisha computer na ubongo ipo kwenye mchakato
Na hiyo ya watu kuhamia sayari ya mars
Kabla jiwe ajamaliza awamu hii na kuanza ya tatu itakuwa tayari
 
kutokana na natural order of the universe nasikitika kukwambia kuna vingine havito wezekana kabisa
 
Nakumbuka kipindi filamu ya Terminator imetoka watu wengi sana hususani ni Wabongo tulisema kuwa "Hii ni Movie tu; wala haina uhalisia na haitokuja kutokea duniani. Kwa Miaka hii ya 2010 mpaka sasa 2021 tofauti ya Terminator na Roboti Sofia ni kitu gani?
Nina Imani kuwa muda ni hakimu wa kweli kwenye kila jambo.... Tusubiri tu
Anyway Tuendelee kuchukua tahadhari [emoji4]
 
kutokana na natural order of the universe nasikitika kukwambia kuna vingine havito wezekana kabisa
Waliofanya ujue uwepo wa hizo natural order of the universe ndio hao watakaofanya yawezekane yasiyowezekana.
 
Back
Top Bottom