tambua hapa ni wapi

tambua hapa ni wapi

Wickama

Platinum Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,577
Reaction score
1,365
Kwanza tuambie hapa ni wapi na hili daraja linaitwaje?

Pili Huyu mpiga picha alikuwa anaelekea wilaya gani kama unaelewa jiografia ya maeneo husika?
 

Attachments

  • 20141223_114846.jpg
    20141223_114846.jpg
    753.2 KB · Views: 765
Ni hapohapo ulipapiga picha. Majibu yote unayo....!
 
Kama unaenda sirari kwa gachuma
Hilo daraja walijenga wachina usiku ila mchna lilishindikana
 
Mto Mara hapo ukivuka tuu umeingia wilaya ya Rorya. Wickama
 
Last edited by a moderator:
maswali mengine bhana. Sasa si useme ni wapi.

mkuu punguza hasira unaona wenye geographia tayari wamesha kuelewesha ni wapi au sio bhana????? ila kamata LIKE
 
Kama unaenda sirari kwa gachuma
Hilo daraja walijenga wachina usiku ila mchna lilishindikana

mkuu hebu edit basi hujataja jina la daraja wala lilipo, kisha Gachuma hakai Sirari
 
Kwanza tuambie hapa ni wapi na hili daraja linaitwaje?

Pili Huyu mpiga picha alikuwa anaelekea wilaya gani kama unaelewa jiografia ya maeneo husika?
​



Daraja la Kirumi,Mto Mara, ukielekea Roria/Tarime
The only Stayed Bridge structure in Tanzania
 
Back
Top Bottom