Tambiko, kafara la njiapanda

Somo gumu sana kueleweka, nadhani tumezoea materials lainilaini kwa kichwa na sasa zimetulemaza

Mapenzi na siasa uchwara vimedominate maisha yetu kiasi cha kufikiri mambo mengine hayapo na ukitokea mmoja ukajaribu kuwakumbusha wengine kuwa jamani eeh kuna hili na lile lakini unaonekana wa ajabu
 
mshana jr kuna kipindi nilipoenda home, kalikizo fulan nikakuta kuna mfanyakaz wa mifugo mgeni, alikuwa ni muha. Jamaa alitokea kunieleza mengi maana nilikuwa nampeleka jeshini ili akate nyasi huku naendelea na mishe zangu, nikaanza mdadisi mambo ya kwao huko (Bibi yake alikuwa fundi) so mambo mengi anayajua na huku alikuja kikazi.

Katika mazungumzo alinambia ngoja nikuonyeshe, nataka niende kwenye mapori kule ya Jeshini but naogopa maana sina kibali.

Bana nikachukua ID yangu hadi nikamtel twende hasa jamaa akaanza nipa skillz kunambia mengi bt sikuweza weka kumbukumbu nayo, Kuna sehemu tulipita tukakuta mzizi wa muharobain umepita njiani ambapo watu wana huluka wakipiga hatua akaukata akauchukua, akasema hii kitu ni dawa kubwa na ina nguvu sana, nilimuuliza akawa ananipa ishara ya nitulie huku anaimba nyimbo za kwao, hadi leo sijapata majibu yake, waweza nijiuza about hiyo kitu…???

Pia akaniambia kama kuna ishu naitaka kamilisha au nataka jiosha kujitoa magundu kuna majana akachuma nikaogee njiaa panda , Sikuweza fanya aiseeee....Kuogea njia panda pia ni suala la kutengeneza au alitaka kuni trick anitengeneze…?
 
Last edited by a moderator:

Alimaanisha kila kitu alichosema vumilia kesho au Jumapili nitakuja na mada ya mwisho mwisho kuhusiana na haya ngoja nisimalize utamu hapa
 
Last edited by a moderator:
Si vibaya tukimuongezea wadhifa kwa kumuita Mganga Mshana Jr....Na hivi uchaguzi Mkuu uko njiani anaweza kuvuta hela kubwa sana toka kwa waheshimiwa ili wachaguliwe tena kurudi mjengoni au wapitishwe kwenye kinyang'anyiro kilichojaa utitiri.

Siku hizi unasomea uganga????
Ww mshana jr weweeee
 
Last edited by a moderator:
Si vibaya tukimuongezea wadhifa kwa kumuita Mganga Mshana Jr....Na hivi uchaguzi Mkuu uko njiani anaweza kuvuta hela kubwa sana toka kwa waheshimiwa ili wachaguliwe tena kurudi mjengoni au wapitishwe kwenye kinyang'anyiro kilichojaa utitiri.

Hahahahaaaaaaa BAK loh labda niloge chama chawala kizidi kudidimia na hatimaye kife kabisa ili tuweze kupata fikra mpya na mwelekeo mpya
Na nikijaaliwa nitafanya hivyo
 
Last edited by a moderator:
LOL! itakuwa poa sana na wanavyoabudu ushirikina hawa, watadhani unawatengenezea kumbe unawabomoa.

Hahahahaaaaaaa BAK loh labda niloge chama chawala kizidi kudidimia na hatimaye kife kabisa ili tuweze kupata fikra mpya na mwelekeo mpya
Na nikijaaliwa nitafanya hivyo
 
Na wewe acha ujinga wa kuwalisha watanzania imani za kishirikina zisizokuwepo! Kutwa kucha unawaza ushirikina tu! Funguka... dunia imesonga mbele. Unazidi kuongeza tatizo la imani potofu za ushirikina kwenye nchi ambayo tayari ina matatizo kibao!
 
Hahahah hilo wazo halikuniingia

Kumbe mshana jr anataka kutumia fursa

Sipati picha wabunge watarajiwa watakavyokuwa wanapigana vikumbo njia panda.....

Si vibaya tukimuongezea wadhifa kwa kumuita Mganga Mshana Jr....Na hivi uchaguzi Mkuu uko njiani anaweza kuvuta hela kubwa sana toka kwa waheshimiwa ili wachaguliwe tena kurudi mjengoni au wapitishwe kwenye kinyang'anyiro kilichojaa utitiri.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Na wewe acha ujinga wa kuwalisha watanzania imani za kishirikina zisizokuwepo! Kutwa kucha unawaza ushirikina tu! Funguka... dunia imesonga mbele. Unazidi kuongeza tatizo la imani potofu za ushirikina kwenye nchi ambayo tayari ina matatizo kibao!

Ukweli haupingwi kwa kejeli.... ni sawa na kuzuia mafuriko kwa viganja vya mikono
Ukisoma 'Myth of the cave' ya Plato utaelimika na mengi
 
Na wewe acha ujinga wa kuwalisha watanzania imani za kishirikina zisizokuwepo! Kutwa kucha unawaza ushirikina tu! Funguka... dunia imesonga mbele. Unazidi kuongeza tatizo la imani potofu za ushirikina kwenye nchi ambayo tayari ina matatizo kibao!

Inabidi kuwa makini sana hasa humu kwenye mitandao. Sijui kuna agenda gani, lakini tokea Pasco atoe ile mada ya Psychic Powers wameibuka self appointed teachers of different nature. Nimeona kuna thread kuna watu wamelizwa kutokana na mambo hayo.
Sidhani hii ni njema kwakweli.
 
Last edited by a moderator:

Kwahiyo Pasco pekeyake ndio alifaa na wengine wote 'self appointed teachers ' hawakuwa wanaongea facts katika maisha ya kila siku...? Elizabeth Dominic this is too low...! Pasco aliandika anachofahamu ni sahihi kabisa iweje leo mshana jr naye aandike anachofahamu aonekane anapotosha? This is too low
Kwanini tunapenda kujifungia kwenye box na kuishi kwa mazoea!? Kwanini hatutaki changamoto mpya na kuangalia vitu kwa upande mwingine au katika uhalisia wake?this is too low...!

Nini maana basi ya kuitwa great thinker if you cannot think beyond?
Hivi mtu akiongelea kuhusu rushwa na madhara yake naye anakuwa mlarushwa? Can't we think a bit deep n seen things in defference perception?
Tunaongelea vitu live kabisa vinatokea kwenye jamii yetu kila siku,kwani nyie mnaishi dunia gani ?hamvioni? Hamvisikii? Hamvisomi? Hamsimuliwi? Kwanini iwe ni taboo vikiandikwa hapa jamvini? Ni kujinyima ufahamu which is too low
 
Last edited by a moderator:
Somo zuri, sema ilitakiwa unapohitimisha useme labda usipende kupita katikati ya njia panda, au usiokote kitu njia panda etc, otherwise inakuwa mada inakuwa haina impact
 
Somo zuri, sema ilitakiwa unapohitimisha useme labda usipende kupita katikati ya njia panda, au usiokote kitu njia panda etc, otherwise inakuwa mada inakuwa haina impact

Hapana huwezi kuzuia mtu kupita njia panda ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa, ishu ya kuokota vitu ni mada ya kesho au Jumapili
Mada kama hii ni kutoa angalizo zaidi na kufahamishana tu, japo wengine wataitafsiri in a negative state, lakini kwakuwa ni vitu Vipo kwenye jamii hakuna jinsi inabidi tu tuvijadili kwa upeo na mapana yake
 
Acha ulozi mshana

Duuuu....!!! Bulldog nisiposema mimi mwingine atasema kama hivi vitu Vipo hakuna jinsi visijadiliwe...kwa kufanya hivi Tutaukomboa wakati na kuwaponya wengi ila tukikaa kimya tutahukumiwa na wakati huku wengi wakizidi kuangamia
Kumbuka slogan ya JF 'Where we dare talk openly' JF mahali tunapothubutu kuongea kwa uwazi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…