Kuna kitu kimoja tu hakichukiwi na binadamu wote! mafanikio katika maisha, kuna wakati mambo hayaendi na mikwamo na vizingiti kutokea... kama hujui kanuni za maisha shida huanzia hapo
Watu wa jinsi hiyo hutafuta kufanikiwa ama kujikwamua kwa kwenda kutafuta msaada kwa waganga na masangoma, kwenye makala zilizotangulia tumeona makafara na matambiko ya damu, sasa kuna hili la njiapanda
Kwanini njiapanda?
Mambo yote ya kishirikina huambatana na roho moja kwa moja na roho ziko maeneo saba ya dunia ardhini, majini, angani, kusini, kaskazini,magharibi na mashariki
Kuna aina mbili za njiapanda ya njia tatu ambayo ndio halisi hii viapo na manuizi yake huhusika na roho za majini ardhini na angani
Aina ya pili ni ile ya njia nne ambayo huwakilisha pande nne za dunia kaskazini kusini mashariki na magharibi
Sababu kubwa ya kuzitumia hizo njiapanda ni kwakuwa hapo ndio inakuwa kama makutano makuu ya point zote za ulimwengu (hii yaweza kuwa ngumu kidogo kueleweka)lakini mara nyingi mganga anapofanya yake hualika roho na mapepo yote kutoka pande hizo na mwishowe hukupa dawa husika ukamalizie njiapanda
Hapa unaweza kupata picha sasa kwanini hawa manabii na mitume wa kileo hupenda mno kuzitumia/kuzitaja hizo point saba kwenye mahubiri yao ni kwakuwa hawamtumikii Mungu bali hutumikia nguvu za giza
Uamuzi wa kutumia mojawapo wa njiapanda hizo hutegemea na kile ukitakacho na njia aitumiayo mganga kufanikisha zoezi lake. Kwahiyo njiapanda ione vilevile ina siri kubwa ndani yake
ANTIBIOTIQUE kwani hapo umesoma nini?kwahiyo baada ya maelezo yote haya ya kishirikina unataka kutueleza nini?
Kwa hiyo wanapoweka njia panda maana yake kazi inaishia hapo? Maana nimeyapiga sana mateke hayo mavyungu
ANTIBIOTIQUE kwani hapo umesoma nini?
Sasa ndugu yangu kumbe jibu unalo halafu unauliza tena....!!!
njia panda ni aina ya madhabahu.kuna kitu kimoja tu hakichukiwi na binadamu wote! Mafanikio katika maisha, kuna wakati mambo hayaendi na mikwamo na vizingiti kutokea... Kama hujui kanuni za maisha shida huanzia hapo
watu wa jinsi hiyo hutafuta kufanikiwa ama kujikwamua kwa kwenda kutafuta msaada kwa waganga na masangoma, kwenye makala zilizotangulia tumeona makafara na matambiko ya damu, sasa kuna hili la njiapanda
kwanini njiapanda?
Mambo yote ya kishirikina huambatana na roho moja kwa moja na roho ziko maeneo saba ya dunia ardhini, majini, angani, kusini, kaskazini,magharibi na mashariki
kuna aina mbili za njiapanda ya njia tatu ambayo ndio halisi hii viapo na manuizi yake huhusika na roho za majini ardhini na angani
aina ya pili ni ile ya njia nne ambayo huwakilisha pande nne za dunia kaskazini kusini mashariki na magharibi
sababu kubwa ya kuzitumia hizo njiapanda ni kwakuwa hapo ndio inakuwa kama makutano makuu ya point zote za ulimwengu (hii yaweza kuwa ngumu kidogo kueleweka)lakini mara nyingi mganga anapofanya yake hualika roho na mapepo yote kutoka pande hizo na mwishowe hukupa dawa husika ukamalizie njiapanda
hapa unaweza kupata picha sasa kwanini hawa manabii na mitume wa kileo hupenda mno kuzitumia/kuzitaja hizo point saba kwenye mahubiri yao ni kwakuwa hawamtumikii mungu bali hutumikia nguvu za giza
uamuzi wa kutumia mojawapo wa njiapanda hizo hutegemea na kile ukitakacho na njia aitumiayo mganga kufanikisha zoezi lake. Kwahiyo njiapanda ione vilevile ina siri kubwa ndani yake
Me nimekula sana nazizao hao wachawi mpaka kishavu kimenitoka,wakati flani wife alikuwa ananiuliza hiv kwanini wanakuvunjia nazi vibaya mkewangu?nikamjibu ndivyo nitakavyo mimi hivyo kumbe nilikuwa nakamata za njiapanda,na kunasiku nilikula pilau jingi balaa ka wiki hivi,ilikuwa hiv nilienda kuosha gari nikakuta wahindi eti wana peperusha majivu na mipirau mingi balaa wakaiweka pembezoni mwa mto na mishumaa kibao,walivyo sepa tu nikajifungashia sina muda,mpaka wa leo mzima me na familiayangu na huwa naenda saana pale nione kama watapeperusha jivu nipone ila madhani bado,ndo hivyo dunia hii akili kumkichwa,amini yesu yupo so mizim na majin hayana nguvu
Kisa nini dagii?