Tamasha la wanyambo ni leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamasha la wanyambo ni leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyange, Jan 21, 2011.

 1. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Leo ni tamasha la wanyambo waishio wilayani Karagwe tangu 21/1-23/1 2011. Makumbusho Dar. Tunaomba machapisho, picha mbalimbali wale mtakao fanikiwa kuhudhuria ili tupate vionjo vya kabila hilo.
   
 2. k

  kakoko Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je tunaweza kupata mawasiliano na waandaaji?email,web?
   
Loading...