Tamasha la Pasaka Uwanja wa Chake Chake pemba

Tamasha la Pasaka Uwanja wa Chake Chake pemba

Chanazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2010
Posts
212
Reaction score
71
Nasikia Tamasha la Pasaka litafanyika hapa kwetu Chake, mwenye tarehe tafadhal atujuze... we cant wait!!
 
Hivi FBI wanaendeleaje na uchunguzi wao?
 
mh.!! Haijawai...hapo wanataka ubaya na watu.!
 
Kwani katika Tamasha la Pasaka ambalo Wanamichezo wanatembeleana huwa wanaangalia ni Wapemba, Waunguja Wabara au Wamakonde?
Na utajuaje huyu Golikipa ni Mkristo au Mwislamu Simbajr umenitisha unaposema We can't
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom