Aisee,wale wahenga waliosema tembea uyaone walikuwa sahihi sana [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mara moja kwa mwaka, katika kijiji cha Hispania cha Castrillo de Murcia, unaweza kukutana na kimbwanga hichi. Watoto wachanga wakiwa wamelezwa chini kwa maelfu mtaani huku wanaume wakiwa wamevaa mavazi ya kishetani wanaruka juu yao. Mara kwa mara.
Tamasha hili maarufu lijulikanalo kama "El Colacho" ni tamasha kubwa la ubatizo
tofauti na ubatizo wa kikristo ambao ni maarufu wa kuwanyunyiza maji utosini katika mji huu namna hii ya kipekee ya ubatizo haukuanza karibuni bali ni tamaduni ya muda mrefu.ukiwa unaakisiwa ni toka karne ya 17
tukio lenyewe huwa hivi
siku sitini baada ya pasaka maelfu ya wakazi wa mji huu huhudhuria tamasha hili na kuwaleta vichanga vyao kwenye eneo husika na kisha kuwalaza kwenye mto na kuwalaza barabarani, wakishafanya hivyo wanarudi pembezoni mwa barabara, baada ya hapo shughuli rasmi inaanza kwa kujitokeza wanaume kadhaa waliovalia nguo za njano na kuzua hali ya taharuki kwa kuwachapa watu hovyo kwa bakora na mijeledi huku wakiwa wanawaruka vichanga hivyo mara kwa mara kwa kupiga ukelele wa kishetani na kuwang'ong'a watoto hawo kwa matusi na kebehi kwa masaa kadhaa kisha mwishoni kuwamwagia maua mbalimbali
Sasa ni kipi kinapelekea wazazi kuwabatiza vichanga hao kwa mtindo huo hatarishi
wenyeji wanasema wanafanya hivi kuwakinga na watoto wao na uchawi na husda kwa watoto
Wao
Tamaduni hii ikiwa inapingwa vikali na kanisa katoliki kwa miaaka kadhaa lakini waumini katika mjii huu hawakubaliani na kanisa katika ubatizo huu kwakusema ni utamaduni waliourithi kwa wazee wao na hawana budi kuuenzi
lkn pamoja na ukosoaji huo tamasha hili kwa muda mrefu limekuwa linafanyika kila mwaka na hakuna kifo wala majeruhi kwa muda wote huo kwa miaka ya karibuni
sasa ndugu zetu wenye kupenda kuigaiga vitu munaonaje tukawa na tamasha hili hapa nchini[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watu wangejua matambiko yetu wa afrika wangekoma wenyewe sema yetu ni ya siri na yako ndani ya familia au ukoo na yangewekwa hadharani shetani mwenyewe angeogopa!

!
!
Shetani anavaaje kwani? Halafu ukute shetani sio mbaya kama tunavyoaminishwa