Sijaelewa, inawezekana we ni Me ila ID ya KE.Nilikuwa kwenye basi ni kutokea kwetu mkoa I juridical Dar risalama kibaruani. Pembeni yangu alikaa dada mmoja ana msambwanda mpaka nilimkumbuka shemeji yangu Behaviourist Kwakweki sikutaka kuongea kwani nilichoka sikupata usingizi vizuri. Tulipofika Segera alitaka machungwa kwakua nilikaa dirishani ilibidi tuvunje ukimya ndipo tuliopanza kuongea.
Alineleza jina lake akanieleza alivyotokea kunipenda tu. Aliniita dada.na alinipa story yake ya Maisha. Alipomaliza shule kuna Baba wa miaka 50+ alimtolea posa akaolewa. Baada ya harusi kutoka kwa mume kila akibeba mimba ikifika miezi 6,7, au 8 zinaporomoka. Utajiri wa mume wake unaongezeka. Alijenga nyumba kwa Dar alikuwa na nyumba zaidi ya 20 anapangisha.
Baada ya miaka mitano ya ndoa bila mtoto, Shangazi yake alistuka. Alikwenda kwa wataalamu wa satellite kuangalia ndoa ya mwanae. Huko aliambiwa yule Baba anatoa watoto kafara ili utajiri wake uendelee. Kwakuwa mke wake alishakuwa mtu mzina, ilibidi mzee aoe damu changa ili aweze kutoa kafara yenye damu yake.
Kutoka kwa mune ikikuwa ni shughuli. Walikaa miaka miwili wakipigana makonbora. Mpaka mume amepata stroke ndiyo imekuwa nafuu yake kwani anajitibu yeye kwanza. Yule binti ameolewa na kijana mwenzake na wana watoto wawili. Biashara yake anapika mama lishe kwa sasa na ana furaha.
Wewe na huyo dada mlikuwa mnatoka Dodoma kwenda Dar-es-salaam?Nilikuwa kwenye basi ni kutokea kwetu mkoa I juridical Dar risalama kibaruani. Pembeni yangu alikaa dada mmoja ana msambwanda mpaka nilimkumbuka shemeji yangu Behaviourist Kwakweki sikutaka kuongea kwani nilichoka sikupata usingizi vizuri. Tulipofika Segera alitaka machungwa kwakua nilikaa dirishani ilibidi tuvunje ukimya ndipo tuliopanza kuongea.
Alineleza jina lake akanieleza alivyotokea kunipenda tu. Aliniita dada.na alinipa story yake ya Maisha. Alipomaliza shule kuna Baba wa miaka 50+ alimtolea posa akaolewa. Baada ya harusi kutoka kwa mume kila akibeba mimba ikifika miezi 6,7, au 8 zinaporomoka. Utajiri wa mume wake unaongezeka. Alijenga nyumba kwa Dar alikuwa na nyumba zaidi ya 20 anapangisha.
Baada ya miaka mitano ya ndoa bila mtoto, Shangazi yake alistuka. Alikwenda kwa wataalamu wa satellite kuangalia ndoa ya mwanae. Huko aliambiwa yule Baba anatoa watoto kafara ili utajiri wake uendelee. Kwakuwa mke wake alishakuwa mtu mzina, ilibidi mzee aoe damu changa ili aweze kutoa kafara yenye damu yake.
Kutoka kwa mune ilikuwa ni shughuli. Walikaa miaka miwili wakipigana makonbora. Mpaka mume amepata stroke ndiyo imekuwa nafuu yake kwani anajitibu yeye kwanza. Yule binti ameolewa na kijana mwenzake na wana watoto wawili. Biashara yake anapika mama lishe kwa sasa na ana furaha.
hata me naona mambo safiSafi tu msoma mada
Nilikosea heading mkuu, watu wangu wanapotea kwa jukosa maarifa. Katika injili ya Mathew Yesu alisema tafuteni akiba ya mbinguni ambayo haiozi wala haiibiki.Utajiri huu ambao tunakufa na kuuacha kila kitu hapa duniani ama mara nyingine utajiri wenyewe unatoweka kabla sisi hatujaondoka hapa duniani, lakini unatufanya tutoe roho za watu balaa, hatari sana.
Alafu dada Sky Eclat , kama si kukuwa kwa kiswahili, nadhani heading neno Tamara ni Tamaa, ila kama ni kukuwa kwa lugha basi utanisaidia mimi, maana kujifunza hakuna mwisho ilimradi tu tupo hai hapa duniani.