Tamaa za wanaume.

Tamaa za wanaume.

P.V.Y.

Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
41
Reaction score
3
Heheya!! Michepuo Imezidi Sana.
Kwa Wanaume Wengi Huwa Wanatamani Kuwa Na WanaWake Wengi Kwa Sababu Ya Kuangalia Maumbile Yao Kama Vile Sehemu Za Makalioni Na Kufurahishwa Na Jinsi Wanavyotembea. Kwa Ujumla Wanaangalia Maumbile. Au Mnasemaje Wenzagu?
 
Naamini shule zimefungwa ndio mana unatafuta pa kutoa pumba zako
 
Nadhani ulitaka tu kuanzisha thread ktk vita dhidi ya jinsi inayoendelea humu, lkn sasa mmmhhh sijui ndo nn umeandika!!!
 
Hivi wanawake wao huwa hawatamani kuwa na wanaume wengi?
 
boya wewe si ujibu hapa hapa umeona koment yangu pm?pambaffff
 
darasa la saba wamemaliza mitihani jana kumbee
 
bora hata umefuta make hata we mwenyewe sidhani kama unajua ulichoandika...
 
Heheya!! Michepuo Imezidi Sana.
Kwa Wanaume Wengi Huwa Wanatamani Kuwa Na WanaWake Wengi Kwa Sababu Ya Kuangalia Maumbile Yao Kama Vile Sehemu Za Makalioni Na Kufurahishwa Na Jinsi Wanavyotembea. Kwa Ujumla Wanaangalia Maumbile. Au Mnasemaje Wenzagu?

hatuna la kusema bwana.
 
Back
Top Bottom