Tamaa v/s upendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamaa v/s upendo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, May 5, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Siku hizi kutamani kunaitwa kupenda,ndio maana mtu anaetafuta mpenzi/mke/mume utasikia sijui nataka mweusi,mweupe,mrefu,mfupi,mwembamba nk,all this had nothing to do with true love,upendo haujalishi unaonekanaje ndo maana ndoa na mahusiano yanayoanzishwa kwa sifa za kushikika hufa mapema coz zimeanzishwa kwa misingi ya tamaa ya mwili na si upendo halisi
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kama hao wanaopendwa bila kuangaliwa sura hawaaprishieiti watu wafanyeje??
  Acha tu tupendane kisanii siku zisonge!!!
   
 3. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh mi nadhani hta huko kupenda kwenyewe kunaanzia na kutamani yaani kuona
   
 4. Edgartz

  Edgartz JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mmm kwani siku hizi kunakupenda?
   
 5. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ajabu! wizi mtupu
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  Upendo umekufa umebaki mazoea
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  kutamani then kupenda bado kupo bwana.....:caked:

  Kilichobadilika ni kwamba kutamani na kupenda sasa si ishu sana,ulichonacho ndo ishu kubwa.....kuna watu hawapendi wala hawatamani wale walio nao kwenye mahusiano ila wako nao kwa kuwa wananufaika na kile wanachopata kwa kuwa nao......:bange:
   
 8. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kupenda imebaki asilimia ndogo sana 20% the rest ni kutamani na ndio maana ndoa nyingi za siku hizi hazidumu.
   
 9. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145

  hahaaa siku hizi kuna kupenda lakini tunapendana kichina!! lol dunia ya sasa kila kitu fake!!
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  May 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  kupenda kupo... ila kunakuja baada ya kumfahamu, kujua ukubwa wa wallet/balance check, kujua kazi, kujua wanafamilia n.k
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Huko sio kupenda dada Asha kama umeolewa au una mpenzi/mchumba na mmekutana kwenye mazingira haya jiandae kupigwa kibuti!!
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  May 6, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Sasa Eiyer unataka nikwambie nini, hatuangalii kupenda maana iliyopo kwenye kamusi naangalia jamii ilonizunguka. Kuna exceptions ambazo watu wanapendana kweli, anapata mwenza wanajenga maisha wote mpaka mnafanikiwa kupata watoto (mfano mimi na ndoa yangu, tuko mbali but tuna hakika tulipendana coz wote tumekutana maisha ya kawaida mno tofauti na sasa).

  Eiyer I really wish ningejua kua ni mdada au mkaka nikuulize swali... But kwa ufupi naweza sema hapa mjini saizi the way you look and what you have is what drives you to get a partner. Sisemi ni vizuri but we have to face the reality....
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  May 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kupenda kupo sana ila Kupendana ndo hakuna..
  upendo siku hizi unakula pande moja tu ....
   
 14. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kwenye bluu,afrodenzi uko sawa kuna hao walio changia wanajifanya kupotezea.
   
Loading...