Tamaa ni mbaya sana, sirudii

sio vizuri kuandka mambo mengi zaidi ya mtoa thread, nia yako nini kumfunika au? Kama unajua kuandika sana au una mawazo mengi basi anzisha thread ya kwako, hapa tunachangia kidogo kidogo mpaka tunapata kitu kizima!! Au sio?
 
Kukurupuka si kuzuri, nyie ndo mnaojikuta mmepata mimba za bahati mbaya kwa kiherehere!!

Niliyekuwa namjibu katulia tulii we unahangaika kuzungusha viuno huku!! I'm sorry madam....!!
 
Unachokifuata ndiyo unachokitaka sasa kwa nini usijue unachotaka.
 
huyu fundisho ni lake mwenyewe siyo kwa wengine maana kisa chenyewe hakijulikani. Hii haina tofauti na mtu kuongea na ukajijibu mwenyewe.
 
Naona hoja yako inatakiwa kujibiwa, ingawa mimi sio mchepuko wa mtu yeyote.
Wanakuaje michepuko bila wewe kuwafuata fuata, unadanganya na kutoroka familia. Wewe utakuwa ni TUSI KUBWA ZAIDI, kimbilimbi chako. Mxiuuuu.

afadhali umenichekesha, na hasa na hicho kimbilimbi cha kulia kinachomfanya atukane wenzake.

Hawezi kusema huyo maana wamemla 0713
 
Vizuri sana kama leo umejua kua tamaa mbaya
 
Kukurupuka si kuzuri, nyie ndo mnaojikuta mmepata mimba za bahati mbaya kwa kiherehere!!

Niliyekuwa namjibu katulia tulii we unahangaika kuzungusha viuno huku!! I'm sorry madam....!!

we binti Ligogoma mbona una mdomo mrefu na maneno machafu hivyo? wanaume huwa hatupendi wasichana type yako, jirekebishe maana tutaishia kukuchezea na kukuzalisha tu.:becky::becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…