Pedra buyer
Member
- Apr 26, 2015
- 97
- 32
- Thread starter
- #41
hapana mkuu,sio hivyoMhh..wewe utakuwa ulizungushwa mtaan ukiwa u*** ndo maana ulikuwa ukiushangaa mtaa! Pole yako kwl na usrudie...
hapana mkuu,sio hivyoMhh..wewe utakuwa ulizungushwa mtaan ukiwa u*** ndo maana ulikuwa ukiushangaa mtaa! Pole yako kwl na usrudie...
Ndo mana nikasema nimemuelewa ila kuthimulia kisa kizima nikiwa na maana ingukuwa vyema tuujue huu mkasa umemkuta katika mazingira yepi hasa ili kama ni kujifunza basi tujifunze vyema!! Mfanoalikuwa ni kwenye ndoa?? coz kuna wanaoamini kwa kuwa wamo kwenye ndoa hata wafanye kosa kubwa vipi atasamehewa na mumewe/mkewe, ndiyo ilikuwa maana yangu ya kwanza.
Ya pili, jamaa kwa haraka haraka ukimsoma ni kwamba anaumia sana! Tugependa kujua ni kipi kinamuumiza sasa yaani kapata magonjwa au kapoteza mali au ni kipi hasa kilichomfanya agundue yule alikuwa mwema na huyu mbaya?? Ni point ya msingi sana coz ndiyo mistakes tunafanya kila leo kumdharau uliyenaye
Lakini kilichomfanya aharibu huku kuzuri akahimia kule kubaya. Tena hapa ndo haswaa tunapasa kujifunza sana hapa kutokana na lifestyles zetu siku hizi unamuacha yule kisa huyu ana gari.
Ndicho nilichokuwa na maanisha ndugu
sio vizuri kuandka mambo mengi zaidi ya mtoa thread, nia yako nini kumfunika au? Kama unajua kuandika sana au una mawazo mengi basi anzisha thread ya kwako, hapa tunachangia kidogo kidogo mpaka tunapata kitu kizima!! Au sio?
Unachokifuata ndiyo unachokitaka sasa kwa nini usijue unachotaka.
Kumbe ndio ulieshangaza hapa mtaani loh!!!!!!! afadhali nimejua kuwa upo jf.
Naona hoja yako inatakiwa kujibiwa, ingawa mimi sio mchepuko wa mtu yeyote.
Wanakuaje michepuko bila wewe kuwafuata fuata, unadanganya na kutoroka familia. Wewe utakuwa ni TUSI KUBWA ZAIDI, kimbilimbi chako. Mxiuuuu.
message sent
huo Uzi mbona unaeleweka mkuu,ni story ndefu.
Tusaidie nasi tujue huo mtaa uko wapi?
Kukurupuka si kuzuri, nyie ndo mnaojikuta mmepata mimba za bahati mbaya kwa kiherehere!!
Niliyekuwa namjibu katulia tulii we unahangaika kuzungusha viuno huku!! I'm sorry madam....!!
analeta stori nusunusu kama ya kutunga!Sasa tunajifunza nini bila kujua kilichokukuta?