Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,741
- 3,544
Ha ha ha ha umefurahisha kwel, ila her umejifunza
huo Uzi mbona unaeleweka mkuu,ni story ndefu.
huo Uzi mbona unaeleweka mkuu,ni story ndefu.
atakuwa alifumaniwa na house girl wa jirani
Fikirisha kidogo akili mkuu
Kama ungekuwa chumba cha mtihani umeambiwa utunge insha kutokana na kichwa cha habari kilivyo,ungetaka mtunga swali akutungie insha yote?
Jamani msidharau beki tatu. Kuna walio angukia ofisi hii kwa sababu tu ya maisha ya wazazi. Akipata nafwasi, na ukute madha hausi hajali jali vimambo vidogo, nakwambia anazingua kitaaa. Ohooopooo nasema usidharau beki tatu anazidi hata kuku wa kienyeji. Niliona jamaa na UDSM yake, Ualim kachukua mazimaaaaPoleee kwa kufumwa na yuleee beki tatu palee kitaa
upo sahihi.Fikirisha kidogo akili mkuu
Kama ungekuwa chumba cha mtihani umeambiwa utunge insha kutokana na kichwa cha habari kilivyo,ungetaka mtunga swali akutungie insha yote?
Kumbe ndio ulieshangaza hapa mtaani loh!!!!!!! afadhali nimejua kuwa upo jf.
Ukisahau rudia tena.............CHUNGU LAKINI DAWA
yakawaida kutokea kwa binadam,hatujakamilika huwa tunakosea mda mwingine.Tatizo hamjielewi wala hamjitambui mmegeuza madudu yenu fagio la chuma hadi kuckofagilika mnafagia.
Jamani msidharau beki tatu. Kuna walio angukia ofisi hii kwa sababu tu ya maisha ya wazazi. Akipata nafwasi, na ukute madha hausi hajali jali vimambo vidogo, nakwambia anazingua kitaaa. Ohooopooo nasema usidharau beki tatu anazidi hata kuku wa kienyeji. Niliona jamaa na UDSM yake, Ualim kachukua mazimaaaa