Pedra buyer
Member
- Apr 26, 2015
- 97
- 32
Nini sasa.....!!
haujaeleweka tuambie yaliyokukuta
Sasa tunajifunza nini bila kujua kilichokukuta?
Naona hoja yako inatakiwa kujibiwa, ingawa mimi sio mchepuko wa mtu yeyote.Basi basi kaka inatosha usinikumbushe maumivu.......yaani kama tumelogwa vile bt sitak tena na situmii kituko/mchepuko..kwanza binafsi naona ni utumwa wa mapenzi kuwa na mchepuko kwani huna amani hata kidogo.........(TUSI KUBWA)kwa Michepuko wote ..........zao
Naona hoja yako inatakiwa kujibiwa, ingawa mimi sio mchepuko wa mtu yeyote.
Wanakuaje michepuko bila wewe kuwafuata fuata, unadanganya na kutoroka familia. Wewe utakuwa ni TUSI KUBWA ZAIDI, kimbilimbi chako. Mxiuuuu.
Pedra buyer
Yah!! Nimejitahidi kukuelewa but ungefanya jambo jema sana kuweka kisa halisi ili tupate funzo kwa uzuri!!