Tamaa ni mbaya. Angalia kilichomkuta huyu

Habari za asubuhi wananchi wenzangu.

Mimi ni kijana Mtanzania, mwajiriwa serikalini, mwenye miaka 35,nina watoto wawili na huyu mke wangu, ambaye nilifunga nae ndoa mwaka 2016, japo ni ndoa ya bomani na wala sio ya kanisani! Mimi na mke wangu tulipendana sana miaka ya nyuma, hakuwa msiri kwenye mambo yake,wala sikuwa msiri kwenye mambo yangu, simu yangu na email yangu vilikua vyake, pia simu yake na email yake vilikua vyangu.

Mwaka 2017 nilienda nje ya nchi kikazi nilikaa huko yapata miezi 8 hivi, wakati huo mtoto wangu wa pili alikua na miaka 3,nilikua napenda sana kupiga video call, naongea na wanangu, lakini kuna siku wife akawa hapokei video call, tena wakati huo ni usiku saa mbili au saa tatu hivi. Na akaanza tabia, hadi apige yeye ndiyo nitaongea na wanangu.

Ukija uliza anasema alipitiwa na usingizi,kumbe aliondoka na kwenda kwa bwana wake,watoto anawaacha wakiwa wamelala na Dada wa kazi. Kuna siku alituma sms ya WhatsApp, kua ile email hatumii tena, ana email mpya. Nikaomba password akaninyima. Nikasema poa!

Basi mwezi wa pili mwaka 2018 nikarudi Tanzania, sikuwa na hili wala lile,siku moja akasema amepata kazi Simiyu,nikauliza ofisi gani, hakutaja jina,bila ya kua na aibu wala soni machoni akaniaga anaenda kufanya kazi,nikasema haina shida,maana niliona acha na yeye akapambane na maisha,ili mikono miwili iweze kujenga!

Kweli baada ya mwezi,akaanza safari, nikasema nimsindikize akasema hapana wewe kaa na watoto kwanza, hapo machale yalikua yashaanza kucheza, maana kuna siku akipigiwa simu tuko pamoja, anagoma kupokea.

Basi akaenda zake Simiyu, baada ya week moja nami nikaenda Simiyu, chakushangaza,nilikuta kuna mambo mengi sana nyumbani kwake, ana vitu vya dhamani kubwa sana, nikauliza kulikoni, akasema kapewa mkopo ofisini kwao, ofisi gani hataki kusema. Mkopo gani jamani hata miezi miwili ofisini hajamaliza? Ofisi gani hii inatoa mikopo mikubwa hivi ndani ya mwezi mmoja tu? Nikasema hapana kuna jambo hapa.

Siku moja bado nikiwa hapo kwake,nikaona simu mpya ndogo,na alikua na line mpya,ambayo mimi hata siijui, nikaichukua ile simu nakuanza kusoma sms za mle ndani, wadau kidogo nipate kichaa cha maisha. Niliumia sana, kumbe ana bwana mwingne wameanza tangu Mimi nikiwa safari nje ya nchi. Sikuwahi kulia, ila that day nilitoa machozi mwanaume mimi, niliwaza wanangu, ndugu zangu, na watu walio karibu yangu, nikasema hivi kama ningekua na gun hapa, si mambo yangekua mengine kabisa, maana gun niliacha home, wanapanga hadi mimi anichokoze, nimpige apate nafasi yakuvunja ndoa ili akaolewe na huyo bwana wake. Aliporudi toka kazini kwake, kusikojulikana aliniuliza unaondoka lini? Nikasema hata sasa hivi, basi nikaichukua ile simu, nikaondoka nayo bila ya yeye kujua, huwezi amini, hata kunisindikiza stand hakwenda.

Nikiwa njiani, ikaingia sms kutoka kwa jamaa, anauliza, vipi huyo pimbi, anaondoka lini, maana nina safari yakuja mwanza, nitapita hadi kwako, wife naye akanipigia simu, hata kabla sijafika stand, akauliza kuna simu yangu hapa, umeondoka nayo? Nikajibu ndiyo! Alikata simu, akaja hadi stand, akaomba nimpe simu yake, niligoma, nikamwambia tena naweza mpa kipondo kizito ili tuachane vizuri akaolewe na huyo jamaa yake!

Nikasema hapa mimi na yeye tushaingia kwenye ugomvi mzito sana, nika copy zile text zote from sim card to phone! Maana nilijua akienda renew line nitapoteza ushaidi wangu! Na kweli alifanya hivyo!

Nikarudi zangu hadi nyumbani kwangu, nikamwita kaka yangu,nikamweleza mambo yote, alichonishauri ni kwamba, tuliza akili achana nae, kweli nikatuliza akili, but nilipata stress sana, nikawa nalewa sana, narudi nyumbani saa saba usiku, hadi nikaomba likizo kazini, boss wangu ni mwelewa sana, baada yakumweleza mkasa mzima, alinipa 56days zakutuliza akili, maana ilikua nife au nipate hata ajali kabisa. Watoto kila siku wanauliza mama yuko wapi? Atarudi lini? Huyu shwain, kwa mda wote huo hajawahi piga simu kuuliza kuhusu watoto wake. Visa vikaendelea, siku moja nilipiga simu kwa mama yake, nikamweleza, mama yake huwezi amini alifunguka mambo mengi sana kuhusu mwanae, aliniambia neno moja tu, mwanangu tuliza akili, hakuna jambo lisilo na mwisho, najua mke wako atakuja kwako analia nakuomba samahani.

Basi nilikaa na wanangu, na yule mdada wa kazi, dada wa kazi anawapenda sana wanangu, sijawahi ona dada kama huyu,tangu 2018 mimi na huyu mwanamke tulikata mawasiliano kabisa, nikawa naongea na mama yake tu. Bidada hakujua kua yule jamaa ana mke wake na watoto, katika tumbua tumbua za Magu, jamaa akapitiwa bwana, jamaa akarudisha majeshi kwa mke wake, bidada akakosa misaada kedekede zakutoka kwa jamaa, bidada akarudisha majeshi home kwao, baba na mama wakamtimua, kama paka mwizi, akaenda domu kwa mdogo wake, shemeji yake mme wa mdogo wake akamtimua pia, kua anaweza mfundisha ujinga mke wake. Basi last week Mama mkwe alinipigia simu, akaniambia Baba nilikuambia tuliza akili, sasa umeona yaliyomkuta mke wako? Akanipa full story, mama akashauri mwanangu, hayo mambo ni yako wewe na mkeo, mkiyamaliza sawa, mkishindwana sawa!

Kaka pia kanipandia hewani,kanipa mkanda wote,akasema dogo komaa, Juzi bidada kapiga simu,anauliza wanangu wapo? (Mungu anisamehe nilisema walishakufa toka 2018) Anaomba maongezi na mimi, nikajibu kwani Jonh yuko wapi?? Hadi sasa hivi anapiga simu Mara ishirini kwa siku, sms ndo nyingi tu, sasa nimempiga block kote kote,Sms,Call,WhatsApp na IG!

Wanawake kwa nini mnakua na tamaa za maisha ya mda mfupi? Unaweza jenga nyumba baada ya 10 years, unaweza nunua gari baada ya 5 years baada yakuanza kazi! Acheni tamaa,mnavunja ndoa zenu wenyewe!
Mkuu Kwanza pole Sana... Hawa viumbe huwa Kuna baadh wana maamuz ya kipuuz na hawafikiri mbele itakuaje... Tamaa Za mda huaribu mfumo mzima wa Maisha yao...mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe... Nenda bomani vunja Ndoa endelea na Maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mkuu kweli ulipitia changamoto kubwa sana. Yaani aliacha watoto wa kuwazaa yeye mwenyewe kipindi chote hiko? Huyo akuwa na wala hana mapenzi nawe wala mapenzi juu ya watoto wake, anachoangalia mafanikio ya haraka.
Nami nakushauri KOMAAA
 
Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake mwenyewe. Mzee wanaume huwa haturudi nyuma kwenye maamuzi Kama hayo. Rudi Tena bomani vunja ndoa Kisha mpe mtaji akaanzishe maisha yake.
Kumbe bomani inawezekana kutengua kile kiapo eh?
 
Wewe ni mwanaume, shikilia hapo hapo. Usimnyime haki ya kuwaona watoto wake. Usisahau kununua usafiri wa maana na kuwa very smart. Usimuogope, akitaka kuona watoto acha awaone, wapeleke. Kichwani kwako usisahau kuwa ulizaa na kuoa kahaba.
 
2016-2017 watoto wawili tayari! Tena wa pili yuko na miaka 3..

Mwezi wa pili 2018 ndio ulirudi kutoka abroad ukiwa huna hili wala lile...

Mwezi wa tatu ukashuhudia uchafu wa mwenzio... Ukarudi home ukawa mlevi kupindukia almanusura kuchizika... Bosi wako kakupa likizo ya siku 56....

.
Ukiachana na wewe mwenyewe kuwa mzinzi kuna maswali mengi nimejiuliza hapa lakini acha tu nibaki nayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama wewe ndo parabora hataki hata kuwasikia
 
Habari za asubuhi wananchi wenzangu.

Mimi ni kijana Mtanzania, mwajiriwa serikalini, mwenye miaka 35,nina watoto wawili na huyu mke wangu, ambaye nilifunga nae ndoa mwaka 2016, japo ni ndoa ya bomani na wala sio ya kanisani! Mimi na mke wangu tulipendana sana miaka ya nyuma, hakuwa msiri kwenye mambo yake,wala sikuwa msiri kwenye mambo yangu, simu yangu na email yangu vilikua vyake, pia simu yake na email yake vilikua vyangu.

Mwaka 2017 nilienda nje ya nchi kikazi nilikaa huko yapata miezi 8 hivi, wakati huo mtoto wangu wa pili alikua na miaka 3,nilikua napenda sana kupiga video call, naongea na wanangu, lakini kuna siku wife akawa hapokei video call, tena wakati huo ni usiku saa mbili au saa tatu hivi. Na akaanza tabia, hadi apige yeye ndiyo nitaongea na wanangu.

Ukija uliza anasema alipitiwa na usingizi,kumbe aliondoka na kwenda kwa bwana wake,watoto anawaacha wakiwa wamelala na Dada wa kazi. Kuna siku alituma sms ya WhatsApp, kua ile email hatumii tena, ana email mpya. Nikaomba password akaninyima. Nikasema poa!

Basi mwezi wa pili mwaka 2018 nikarudi Tanzania, sikuwa na hili wala lile,siku moja akasema amepata kazi Simiyu,nikauliza ofisi gani, hakutaja jina,bila ya kua na aibu wala soni machoni akaniaga anaenda kufanya kazi,nikasema haina shida,maana niliona acha na yeye akapambane na maisha,ili mikono miwili iweze kujenga!

Kweli baada ya mwezi,akaanza safari, nikasema nimsindikize akasema hapana wewe kaa na watoto kwanza, hapo machale yalikua yashaanza kucheza, maana kuna siku akipigiwa simu tuko pamoja, anagoma kupokea.

Basi akaenda zake Simiyu, baada ya week moja nami nikaenda Simiyu, chakushangaza,nilikuta kuna mambo mengi sana nyumbani kwake, ana vitu vya dhamani kubwa sana, nikauliza kulikoni, akasema kapewa mkopo ofisini kwao, ofisi gani hataki kusema. Mkopo gani jamani hata miezi miwili ofisini hajamaliza? Ofisi gani hii inatoa mikopo mikubwa hivi ndani ya mwezi mmoja tu? Nikasema hapana kuna jambo hapa.

Siku moja bado nikiwa hapo kwake,nikaona simu mpya ndogo,na alikua na line mpya,ambayo mimi hata siijui, nikaichukua ile simu nakuanza kusoma sms za mle ndani, wadau kidogo nipate kichaa cha maisha. Niliumia sana, kumbe ana bwana mwingne wameanza tangu Mimi nikiwa safari nje ya nchi. Sikuwahi kulia, ila that day nilitoa machozi mwanaume mimi, niliwaza wanangu, ndugu zangu, na watu walio karibu yangu, nikasema hivi kama ningekua na gun hapa, si mambo yangekua mengine kabisa, maana gun niliacha home, wanapanga hadi mimi anichokoze, nimpige apate nafasi yakuvunja ndoa ili akaolewe na huyo bwana wake. Aliporudi toka kazini kwake, kusikojulikana aliniuliza unaondoka lini? Nikasema hata sasa hivi, basi nikaichukua ile simu, nikaondoka nayo bila ya yeye kujua, huwezi amini, hata kunisindikiza stand hakwenda.

Nikiwa njiani, ikaingia sms kutoka kwa jamaa, anauliza, vipi huyo pimbi, anaondoka lini, maana nina safari yakuja mwanza, nitapita hadi kwako, wife naye akanipigia simu, hata kabla sijafika stand, akauliza kuna simu yangu hapa, umeondoka nayo? Nikajibu ndiyo! Alikata simu, akaja hadi stand, akaomba nimpe simu yake, niligoma, nikamwambia tena naweza mpa kipondo kizito ili tuachane vizuri akaolewe na huyo jamaa yake!

Nikasema hapa mimi na yeye tushaingia kwenye ugomvi mzito sana, nika copy zile text zote from sim card to phone! Maana nilijua akienda renew line nitapoteza ushaidi wangu! Na kweli alifanya hivyo!

Nikarudi zangu hadi nyumbani kwangu, nikamwita kaka yangu,nikamweleza mambo yote, alichonishauri ni kwamba, tuliza akili achana nae, kweli nikatuliza akili, but nilipata stress sana, nikawa nalewa sana, narudi nyumbani saa saba usiku, hadi nikaomba likizo kazini, boss wangu ni mwelewa sana, baada yakumweleza mkasa mzima, alinipa 56days zakutuliza akili, maana ilikua nife au nipate hata ajali kabisa. Watoto kila siku wanauliza mama yuko wapi? Atarudi lini? Huyu shwain, kwa mda wote huo hajawahi piga simu kuuliza kuhusu watoto wake. Visa vikaendelea, siku moja nilipiga simu kwa mama yake, nikamweleza, mama yake huwezi amini alifunguka mambo mengi sana kuhusu mwanae, aliniambia neno moja tu, mwanangu tuliza akili, hakuna jambo lisilo na mwisho, najua mke wako atakuja kwako analia nakuomba samahani.

Basi nilikaa na wanangu, na yule mdada wa kazi, dada wa kazi anawapenda sana wanangu, sijawahi ona dada kama huyu,tangu 2018 mimi na huyu mwanamke tulikata mawasiliano kabisa, nikawa naongea na mama yake tu. Bidada hakujua kua yule jamaa ana mke wake na watoto, katika tumbua tumbua za Magu, jamaa akapitiwa bwana, jamaa akarudisha majeshi kwa mke wake, bidada akakosa misaada kedekede zakutoka kwa jamaa, bidada akarudisha majeshi home kwao, baba na mama wakamtimua, kama paka mwizi, akaenda domu kwa mdogo wake, shemeji yake mme wa mdogo wake akamtimua pia, kua anaweza mfundisha ujinga mke wake. Basi last week Mama mkwe alinipigia simu, akaniambia Baba nilikuambia tuliza akili, sasa umeona yaliyomkuta mke wako? Akanipa full story, mama akashauri mwanangu, hayo mambo ni yako wewe na mkeo, mkiyamaliza sawa, mkishindwana sawa!

Kaka pia kanipandia hewani,kanipa mkanda wote,akasema dogo komaa, Juzi bidada kapiga simu,anauliza wanangu wapo? (Mungu anisamehe nilisema walishakufa toka 2018) Anaomba maongezi na mimi, nikajibu kwani Jonh yuko wapi?? Hadi sasa hivi anapiga simu Mara ishirini kwa siku, sms ndo nyingi tu, sasa nimempiga block kote kote,Sms,Call,WhatsApp na IG!

Wanawake kwa nini mnakua na tamaa za maisha ya mda mfupi? Unaweza jenga nyumba baada ya 10 years, unaweza nunua gari baada ya 5 years baada yakuanza kazi! Acheni tamaa,mnavunja ndoa zenu wenyewe!
Kipindi anasumbua ndio kilikuwa kipindi kizuli cha kumpa talaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alivyokuahauri mama mkwe wako ni wewe na mkeo mtayamaliza lakini inauma sana Tena sana unaweza ua kufa kwa aku moja tu kaa tuliza ajili wewe sio WA kwanza kupata majanga kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza, pole sana kwa janga hilo...MUNGU akupe ustahimilivu na uwezo mkubwa wa kujizuia kihisia.

Pili, Msamehe huyo mwanamke, ila msamaha ninaouzungumzia hapa ni ule wa kuachilia hlo jambo na kumuachia Mungu mwenyewe alaf kila mtu aendelee na ratiba zake za maisha, kamwe usirudishe nyoka ndani mwako.

Tatu, huyo ni mama wa watoto wako, ni mzazi mwenzio!!!! Kwa heshima ya wanao... kama unanafasi msaidie hata mtaji ili asije adhirika, msaidie pale anapohtaji msaada wako maake kufanya hvo ndio mapenzi yako makubwa kwa wanao, yule ni mama yao haijalishi ni nyoka kiasi gani bado atabaki kuwa mamayao forever.

Nne, Muombe sana Mungu akupe utulivu katika nyanja zote za maisha yako. MUNGU akubariki sana na asikupungukie kwa chochote.
Akwendeee hukoo kamaa lijalii dudu kuliko hata watoto zake hana manaa.. Tena mimi ningekuwa nawaambia watoto

MAMA YENU ALIKUFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom