Kulikuwa na nchi moja kulikuwa na njaa akatokea tajiri mmoja mwenye shamba kubwa akaenda kutafuta watu wakumsaidia kuvuna kwenye shamba lake ili awalipe kusikia hivyo wanaume wengi walijitokeza kwenda kufanya kazi kwa ajili yao na familia. Siku ilipofika yule tajiri akawachukua na kuwapeleka shambani na wakapatana kwamba m2 atalipwa kutokana na idadi ya magunia atakayo vuna na kupeleka stoo basi shughuli ikaanza wakapeleka raund ya 1 2 3...jamaa mmoja mvivu kwa tamaa ya kupeleka mizigo mingi stoo akaamua akusanye mabua na kujaza kwenye maguni haraka na kupeleka stoo akapeleka 5 na 6 walipofika trip ya 7 yule tajiri akawambia raund hiyo wasipeleke stoo na hiyo mizigo waliyobeba ndo itakuwa malipo yao kwa maana hela waliyopatana ilikuwa ndogo