TAMAA MBAYA

RASCO BOY

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
428
485
Kweli tamaa ni mbaya, mke wa mtu kaponzwa na tamaa, ndio basi tena

Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake:

JAMAA: Shem nakupenda!
MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki
yako akijua? tena koma!
JAMAA: Ntakupa milioni 1!
MKE: Basi njoo kesho mchana
mume wangu akiwa kazini!

Kesho yake Jamaa kaja
na milioni 1 wakamalizana na mke wa rafki yake,
jioni ilipofika
Mume akarudi home na
kumuuliza Mkewe, "Rafki yangu SAM kaleta hela yangu milioni 1?"
MKE akajibu kwa unyonge, "Ndio!"
MUME: Yes! Ndio maana nampenda SAM kanikopa asubuhi jioni karejesha!!!!
Mke hoi mzgo umeliwa bure……

Nitaendelea kuwaburudisha.....RASCO BOY

Mambo hayo.....

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
Hiyo inaitwa akili kumukichwa! Jamaa katumia fursa kalipa deni na mzigo kupakuliwa kirahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom