Tamaa Itanimaliza Jamani

Bwana wewe hupati wakukugegeda au unataka uzae tu? Umri wako unafaa kufanya mapenzi lakin maliza shule ndo uzae,
 
Pole sn mdogo wangu jitahidi kumuomba Mungu ili akuepushe na hiyo tamaa ndoa ni ngumu kuliko unavyodhani ww kazana kusoma utapata mwanaume mzuri
 
ndo unipe mchanganuo atakua ameanza std 1 na umri gani, hmna mtoto anayesailiwa darasa la kwanza na miaka 4 tusidangajane

Mfano mimi nina 21 now and nipo 3rd year.....mbona simple tu
 
ni dhahiri kuwa nina uwezo wa kutatua shida yako bila shaka ya aina yoyote,kukuoa,ila nitakupa tatizo lingine dogo,mgegedo ni kila siku asubuhi na jioni,haya pm
 
Umri wako unaruhusu yote mwaya, kikubwa mtangulize Mungu pia epuka zinaa fanya maamuzi sahihi wala sio mdogo wewe
 
Kama umeandika mwenyewe kuwa tamaa hita kumaliza ,sidhani kama kuna ushauri una hitaji kwenye hili maana tatizo umeshalijua kuwa ni Tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…