Polisi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,082
- 644
Naomba mwenye ufahamu mzuri katika hizi hizi accounting packages anishauri ipi ninunue.
Kwa ajili ya matumizi ya Ngo ambayo inapata funds toka nje. Urahisi kutumia/kujifunza, wingi wa modules, bei rahisi, upatikanaji. Hivyo ni baadhi ya vigezo vya kuzingatia
karibuni