Taliban wana vituko kweli, watumia Chopa zilizoachwa na wanajeshi wa Marekani

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,305
35,852
Kundi la kigaidi lililokamata Nchi yote Afghanistan leo wameonekana Wakizunguka angani na Black Hawk Helicopter zilizoachwa na Jeshi la Marekani kwa zamu baada kujifunza kuzirusha kupitia You tube na GTA 5. Hizi baadhi ya comment za Wamarekani
Screenshot_20210831-210913.jpg
 
Kundi la kigaidi lililokamata Nchi yote Afghanistan leo wameonekana Wakizunguka angani na Black Hawk Helicopter zilizoachwa na Jeshi la Marekani kwa zamu baada kujifunza kuzirusha kupitia You tube na GTA 5. Hizi baadhi ya comment za WamarekaniView attachment 1918504
Vituko viko Tanzania. Huku kuna Hamza Msomali, huku kuna Mama Ja wa Yanga, huku kuna mwenye vyeti vyake vya Mirembe anasema Yesu alioa, Yesu na mke wake walitembea kwa miguu kutoka Nazareth mpaka Jerusalem kuhesabiwa, halafu akiwa huko akazaliwa . Ndugai katisha.
Huku kuna kamati ya kulazimisha Slaa aamini kwamba anakatwa Kodi, yaani upumbavu mtupu
 
Back
Top Bottom