Taliban wana vituko kweli, watumia Chopa zilizoachwa na wanajeshi wa Marekani

Kundi la kigaidi lililokamata Nchi yote Afghanistan leo wameonekana Wakizunguka angani na Black Hawk Helicopter zilizoachwa na Jeshi la Marekani kwa zamu baada kujifunza kuzirusha kupitia You tube na GTA 5. Hizi baadhi ya comment za WamarekaniView attachment 1918504
Zikiinza kuharibika ndipo watajuta kuchukua nchi bila maandalizi ya maana wala sera endelevu.
 
Biden anajua alichokifanya hapo afghan, Kuna wakandarasi kibao amewaacha hapo kwa kazi maalum, akili ndogo haiwezi kujua lengo la Biden kuwaacha taleban watawale kwa sasa

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hata tz kuna ushamba mwingi tu, kama ule wa kamati ile ya kuwa na akili moja ili kufanya unafiki hata kama ukweli upo wazi
Ni kweli,ushamba mwingine ni ule wa kudanganya kushusha tozo za simu na siku hiyo hiyo kuzihamishia kwenye petroli,disel na mafua ya taa.Ama kweli Watanzania tumefanywa wajinga.

Hivi soko la mafuta duniani linapanda kwa Tanzania tu.Mbona nchi nyingine za Afica Mashariki mafuta hayajapanda na hawategemei kupanda,ndo maana Nchimba alituambia tuhamie huko.Ama kweli Yesu alikwenda na mke wake mpaka Yerusalemu halafu Yesu akazaliwa huko kwenye hori la ng,ombe.
 
Back
Top Bottom