chivala
JF-Expert Member
- Apr 13, 2021
- 772
- 2,333
Hali ya wasiwasi imeanza kutanda duniani kote baada ya waasi wa Afghanistan wenye MSIMAMO mkali wa kiislam kutwaa miji mikubwa ya nchi hiyo na sasa kungia kwenye baadhi ya viunga va mjimkuu wa nchi hiyo KABUL.
Sasa hivi marekani na nchi nyingine zinahaha na harakati za kuwahamisha wandiplomasi wao kwa kutumia helicopters za jeshi la Marekani.
View attachment 1893068
Sasa hivi marekani na nchi nyingine zinahaha na harakati za kuwahamisha wandiplomasi wao kwa kutumia helicopters za jeshi la Marekani.
View attachment 1893068